Notification texts go here Contact Us Buy Now!

NGUMU KUMEZA: (18+) Sehemu ya 10- Muandishi: Jclassic boy (Next level Author)

ILIPOISHIA “K2 nakojoaa……” “Kojoa tu” Viungo vyote vya mwili wangu vikapata raha ambayo siku zote wanaume tukifika hatua hiyo tunaweza kujikuta tukaropoka maneno ambayo hata hayapo kwenye huu ulimwengu, ili maradi kuwasindikiza waarabu hao. Waarabu weupe wakatoka kwa kasi na kunifanya nifumbue macho yangu huku nikiwasikilizia wakitapakaa kwenye mkud* * wa K2. Kitendo cha kufumbua macho yangu, nikakutana uso kwa uso na Marim aliye simama mlangoni akitutizama kwa kuduwaa, na kunifanya mapigo yangu ya moyo kuniaenda mbio, nilipo mtazama K2 mwenzangu bado alitazama juu huku akiyabana maziwa yake kwa nguvu. ENDELEA
ILIPOISHIA

“K2 nakojoaa……”

“Kojoa tu”

Viungo vyote vya mwili wangu vikapata raha ambayo siku zote wanaume tukifika hatua hiyo tunaweza kujikuta tukaropoka maneno ambayo hata hayapo kwenye huu ulimwengu, ili maradi kuwasindikiza waarabu hao. Waarabu weupe wakatoka kwa kasi na kunifanya nifumbue macho yangu huku nikiwasikilizia wakitapakaa kwenye mkud* * wa K2. Kitendo cha kufumbua macho yangu, nikakutana uso kwa uso na Marim aliye simama mlangoni akitutizama kwa kuduwaa, na kunifanya mapigo yangu ya moyo kuniaenda mbio, nilipo mtazama K2 mwenzangu bado alitazama juu huku akiyabana maziwa yake kwa nguvu.



ENDELEA

NGUMU KUMEZA: (18+) Sehemu ya 10


Mariam ona tunatazama, akatoka kwa haraka hata kabla K2 hajamuona.

“Ohooo Dany your so cryz”

Sikumjibu chochote K2, kwa maana mawazo yangu yote nilisha anza kumfikiria Mariam ambaye ni msichana aliye ziteke hisia zangu za ukweli za mapenzi. K2 akanyanyuka taratibu na kujilaza kifudifudi kitandani huku akiyatingisha makalio yake.

“Hapa nimepata hata nguvu ya kufanya kazi leo ofisini kwa maana mwenzako sikuwa na nguvu kabisa ya kufanya kazi ofisini” “Kwa hiyo auendi ofisini?” “Nitakwenda, kwa maana mkund** mzima ulikuwa ukiniwasha washa nilipo kuwa ofisini” “Mbona hukuja na gari?” “Ahaaa sikutaka watu wafahamu ninapo kwenda, nilikodisha taksi hadi hapa” “Ok fanya ukaoge?”

“Dany subiri kwanza ziingie vizuri”

K2 akaendelea kujilaza, kutokana na jasho nililo lipata sikutaka kukaa nalo. Nikajifunga taulo na kutoka nje, kwenye kordo hapakuwa na mtu wa aina yoyote, nikarudi chumbani na kuchukua sabuni na moja kwa moja nikaelekea bafuni. Kimbebe kikawa ni kwenye kuoga kwa maana vidonda vikiingia maji vinauma kupita maelezo. Nikaoga kiaina aina huku nikihakikisha kidonda cha mgongoni sikitii maji.

Japo vidonda vya mikononi vinakumbana kwa maumivu makali ya maji ila nikajikaza hadi nikamaliza zoezi langu, nikafungua bandeji zote nilizo fungwa viganjani, nikatoka nazo bafuni huku nikiwa nimejifunga taulo. Nikiwa naelekea kwenye ndoo ya matakataka nikakutana na Mariam akataka kunisemesha kitu ila alipo niangalia mgongoni akastuka. Nikaziweka bandeji hizo kwenye kindoo hicho cha taka kisha nikampita kama sijamuona, nikaingia chumbani kwangu na kumkuta K2 bado akiwa amejilaza.

“Bafu lenu lipo kwa wapi?” “Ukitoka huko uwani utaiona milango miwili, wa mwisho kabisa ni mlango wa choo na pembeni upande wa kushoto kwako ni mlango wa bafu” “Hakuna watu hapo uwani?” “Sasa wewe unaogopa watu” “Ahaa sipendi uchoro mimi” “Wewe nenda hakuna watu” K2 akashuka kitandani akajifunga taulo, kunzia kifuani, ambalo liliishia kwenye nusu ya mapaja yake hii ni kutokana na urefu wake.

“Sabuni ipo wapi?”

“Hiyo hapo juu” K2 akachukua sabuni na kutoka, nikajilaza kitandani huku feni nikilitega sehemu moja na lisizunguke zunguke. Nikajilaza kitandani kifudifudi, kidogo upepo huo wa feni ukawa unanipa hauweni ya maumivu ya kidonda cha mgongoni kupungua. Baada ya dakika kama tano, K2 akarudi chumbani huku akiwa amemaliza kuoga.

“Aiseee kumbe kidonda chako kikubwa hivi” “Ndio” “Ulifanyaje?” “Jana kuna nyumba ilikuwa inaungua hapo mbele, sasa kuna mtu alibaki ndani, nikaenda kumuokoa” Aisee pole sana, sasa alifufa?” “Hapana alisalimika na wala hajaungua sehemu yoyote” “Kwa staili hiyo, basi itabidi upumzike hadi kidonda kitakapo kuwa sawa”

“Sawa, ila nitaomba niende nyumbani Tanga nikasalimie” “Na kidonda hicho, bado kibichi unataka kusafiri tena?” “Nitavaa mashati makubwa” “So nikupe dereva akupeleke?”

“Hapana” “No Dany kwa hali kama hiyo huwezi kusafiri kwenye basi, kesho Hassani atakuja kukuchukua alfajiri na mapema muanze safari sawa”

“Sawa” “Ngoja niende kazini, jioni nitakuletea pesa ya kwenda kusalimia nyumbani”

“Sawa” K2 akaanza kuvaa nguo zake, akatoa vipodozi kwenye pochi yake na kuanza kujipara akitumia kioo cha dreasing table yangu iliyomo humu ndani kwangu. Alipo maliza, akanifwata kitandani, akanifunika shuka kuanzia miguuni hadi kwenye kiuno.

“So Dany umenisamehe” “Ndio ila siku nyingine usirudie ujinga ulio ufanya, hata kama wewe ni bosi wangu” “Sinto fanya hivyo Dany wangu, nakuapia haki ya Mungu, sinto rudia huo ujinga” “Sawa” K2 akanisogelea na kunibusu mdomoni, na shavuni. Akafungua pochi yake na kutoa noti nyingi za elfu kumi kumi na kunikabidhi.

“Laki mbili hiyo, fanya basi utafute chakula cha mchana” “Sawa, asante” “Jioni nikitoka ofisini nitakuletea chakula” “Sawa baby” “Waaoo Dany umeniita baby leo, asante sana” “Usijali” K2 akatoa simu yake, akampigia dereva wa taksi aliye mleta, baada ya dakika tano, simu yake ikaita.

“Amesha fika, naona ananipigia, so fanya ule mme wangu” “Sawa mamy” K2 akanipiga busu tena, akabeba pochi yake, na kutoka chumbani kwangu huku akipokea simu ya dereva taksi huyo aliye mleta. Nikazihesabu pesa hizo kweli nikakuta ni laki mbili. Nikaziweka pembeni ya mto nilio lalia. Hata kabla sijafanya chochote nikasikia hodi mlangoni kwangu.

“Nani?”

“Mariam” “Ingia” Akaingia Mariam akiwa mnyonge, kwa ishara ya mkono nikamuomba akae kwenye sofa. Mariam akanitazama mgongoni mwangu, kisha akanitazama usoni.

“Dany naomba unisamehe” “Kwani umefanya kosa” “Ndio, niliingia ndani kwako pasipo idhini yako” “Usijali nimekusamehe, niambie kilicho kuleta”

“Nilikuja kukupa pole kwa kuungua, nilisikia jana ila sikuweza kukuona, sasa leo nilipo sikia kelele chumbani kwangu ikanibidi nije kukusalimia” “Ok, usijali naendelea vizuri, so umekula?” “Ndio nimekunywa chai” “Chuku hii pesa kalete chipsi kuku mbili, yako na yangu” Nikatoa elfu thelathini na kumkabidhi Mariam aliye nyanyuka na kuja kuzichukua kitandani nilipo jilaza.

“Sikia kuku wangu wamkaushe, na chipis yangu uikaushe” “Sawa”

“Chuku na hii elfu kumi niletee miskaki” “Mingapi?” “Kwani mskaki mmoja ni shilingi ngapi?” “Ni miatano”

“Lete ya pesa yote. Hivi mama yupo?”

“Hapana, amekwenda Mbagala kufwatilia watu alio wakopesha vitenge vyake” “Atarudi saa ngapi?” “Nahisi usiku” “Ok leo hujaenda chuo?” “Leo sina mtihani” “Sawa kalete hivyo vitu. Hembu fungua friji uangalie ni kinywaji gani kimepungua” Mariam akafanya kama nilivyo muagiza, akafungua friji, akatazama kwa sekunde kadhaa kisha akalifunga.

“Vinywaji havijapungua sana, ila kuna sahani ina ndizi” “Ahaa okay, basi kalete msosi” Mariam alitoka, akiwa mnyonge dhairi nikatuambua kuna kitu ambacho kinamsumbua. Nikachukua simu yangu iliyopo mezani na kutazama meseji zilizo ingia, hapakuwa na meseji nyingi zaidi ya meseji za marafiki zangu ofisini wengine wakiniuliza ni wapi nilipo. Sikujibu meseji ya yoyote kutokana na kuchoka.

Baada ya nusu saa Mariam akarudi akiwa ameshika mfuko mkubwa mweusi. Akauweka mezani na kuchukua sahani kwenye sehemu ninapo ziweka. Akaanza kutenga chakula, alipo maliza akaniomba ninyanyuke kitandani. Taratibu nikanyanyuka kitandani kwa bahati mbaya shuka niliko jifunika, likaniponyoka kwa mbele nilipo kuwa nimepashika na kusababisha sehemu yote ya mbele kuonekana. Mariam akapakodelea macho, kisha akatazama pembeni na kujikausha kama hajaona kilicho tokea. Nikajifunga shuka hilo vizuri kiunoni na moja kwa moja nikaelekea kukaa kwneye sofa, naye akakaa pembeni yangu.

“Niletee uma, siwezi kula kwa kiganja”

“Sawa”

Mariam akanyanyuka kwenye sofa na kwenda kunichukulia uma, kisha akarudi nao. Akanikabidhi kisha yeye akanawa mikono kwa maji aliyo kwisha kuyaandaa, akasali na kunikaribisha chakula.

“Hivi wewe na mama yako ni dini gani?” “Wakristo” “Ahaa” Ukimya ukatawala kati yetu huku tukiendelea kula taratibu. Ikanibidi kuwasha redio yangu kubwa,taratibu mziki wa West life unao itwa Fool again, ukaanza kusikika kwenye spika za redio yangu.

“Hivi umempendea nini yule mama?” Swali la Mariam likanistua hadi uma ukaanguka, sikutegemea kama ataniuliza tena kwenye hali ya upole na unyonge huku akiitazama sahani yake ya chakula.

“Kwa nini umaniuliza hivyo?” Mariam akausitisha mkono wake alio kuwa anaupeleka mdomoni, huku ukiwa umeshika kipande cha nyama ya kuku, taratibu akakirudisha kwenye sahani, akashusha pumzi na kuunyanyua uso wake na kunitazama.

“Dany, siku mbili tatu hizi tulizo kuwa karibu na kulala kule hotelini chumba kimoja pasipo kufanya kitu chochote, moyoni mwangu nilijihisi mtumwa wa kkitu ambacho siku zote siwezi kukiweka wazi mbele ya mwanaume” “Kitu gani?” “Dany, mimi ni mwanamke matendo yangu dhairi yanaweza kukuonyeshea kwamba nina kitu fulani moyoni mwangu” Mariam alizungumza kwa unyonge ambao sikutarajia hata siku moja kwamba anaweza kuuzungusha, isitoshe na tukio la leo la kunikuta ninafanya mapenzi na K2 ndio kabisa nikakata tamaa hta ya kumpata nikiamini kwamba nimesha mkosa kwenye maisha yangu.

“Ila najiona nimesha chelewa kwako, na wala siwezi kukulaumu kwa hichi ulicho kifanya kwa leo hii ni kutokana na kukusukuma mbali pale ulipo kuwa una nihitaji. Nayakumbuka macho yako uliyo nitazama nayo juzi ulipo nishika mkono, najisikia furaha sana kila nilipo ikumbuka ile siku” Mariam wakati huu aliuzungumza maneno hayo huku machozi yakimwagika usoni mwake. Nilijihisi vibaya sana moyoni mwangu kumuona Marian analia kwa mwanaume ambaye tayari nipo kwenye mahusiano na mwanamke mwengine tena ameshuhudia miili yetu iliwa mitupu kabisa.

Taratibu nikaupisha mkono wangu mabegani mwa Mariam na kumvutia karibu yangu na kumlaza begani mwangu. “Dany nakupenda, hata ukinifikiria vibaya ni bora kuliko hivi nikae na dukuduku moyoni mwangu” ‘Mama yake nitamuweka wapi naye?’

Nilijiuliza akilini mwangu huku nikisikilizia Mariam jinsi anavyo lia lia. Nikashusha pumzi nyingi, huku nikitamani kukubali ombi lake, japo kusema kweli ninahisia naye ila mama yake akifahamu kwamba nina mahusiano na mwanaye ninahisi nitaleta ugomvi kati yao isitoshe Mariam na mama yake wanapenda sana.

“Mariam?”

“Bee”

“Usilie, nimekuelewa, ila nakuomba unipe muda katika hili” “Sawa Dany nipo tayari kukupa muda hata mwaka mzima, ila unapo fanya mambo yako jaribu kufikiria kwamba kuna mwanamke nyuma yako anakupenda kwa moyo wake wote.” “Sawa nimekuelewa Mariam, haya sasa tuendelee kula. Nilishe tu uma wangu si umeanguka”
“Sawa” Maria akanyanyua kichwa kwenye bega langu kwa furaha, akaanza kunilisha huku mara kadhaa akinitazama usoni mwangu na kuachia tabasamu.
‘Mariam nakupenda ila K2 akikujua wewe atakuua’
Niliwaza kichwani mwangu huku nikimtazama Marian anaye tabasamu. Tukamaliza kula, Mariam akatoa vyombo nje kwenye kuviosha, nikarudi kitandani. Baada ya muda kidogo akavirudisha na kuviweka katika sehemu ambayo amevitoa.
“Mariam kwa sasa nakuomba nipumzike” “Sawa Dany” “Je una mapungufu yoyote katika mahitaji yako?”
“Hapana ile pesa uliyo nipa siku ile nimeweza kununua mahitaji yangu yote, na nimebakiwa na elfu hamsini ya matumizi madogo madogo” “Njoo” Mariam akanifwata kitandani nilipo lala, nikachukua noti nyingine tano na kumkabidhi.
“Utaongezea kwenye hiyo pesa yako ya matumizi kesho ninakwenda Tanga, nitakaa huko wiki moja na amini hadi nikirudi bado pesa hiyo utakuwa nayo” “Haaa tena utakuna hata sijaitumia sana, mimi najua kupanga bajeti” “Sawa, na mitihani munamaliza lini?” “Kesho kutwa, tukimaliza tunafunga chuo”
“Ok sawa, hembu niandikie namba yako ya simu hapa” Nikamonyesha simu yangu, akaandika namba yake na kuisave kwenye simu yangu na kunirudishia. Akaniaga na kutoka chumbani kwangu huku akiurudishia mlango wangu. Kwa miziki mizuri na mizuri ya mapenzi, inayo sikika kwneye redio nikajikuta kausingizi kakinipitia taratibu na kulala fofofo.
*
“Dany, Dany” “Mmmmmm” Niliitika huku nikiyafumbua macho yangu, nikamkuta K2 amekaa pemeni ya kitanda change.
“Unaendeleaje?” “Nipo poa” “Nimekuja na Hassani yupo hapo nje, kesho nimemueleza aje kukuchukua saa kumi na mbili asubihi muanze safari” “Sawa” Nilizungumza huku nikikaa kitako kitandani. K2 akafungua pochi yake na kutoa kibunda cha pesa kilicho fungwa na ‘rababend’ na kunikabidhi.
“Milioni tatu hiyo, naamini itakusaidia huko huendapo” “Ndio shukrani sana mpenzi wangu” “Usijali, kama pesa itakuwa imekuishia wewe nipigie simu nitakutumia”
“Sawa” “Sasa nimekosa hata muda wa kupitia kwenya mgahawa na kukuletea chakula. Kama unaweza kumuagiza hata mtu akakununulia chakula” “Ninaye bodaboda wangu mmoja nitamuagiza anichukulie chakula”
“Sasa sina muda wa kukaa, mpenzi wangu si unajua tena nyumbani kwangu mzee anasumbua sumbua na hapa ameniambai mwanangu anaumwa nataka nimuwahi kwenda kumtazama” “Ahaa pole kwa kuuguliwa”
“Usijali, hembu fanya uvae japo nguo uje kumsalimia Hassani”
“Sawa” K2 akafungua kabati langu na kunitolea pensi, na shati jespesi. Nikavaa, nilipo maliza akaninyonya midomo yangu taratibu.
“Dany nakuomba ujilinde huko uendako, isije vijiwanawake vyako vya kitanga wakaenda kukupagawisha na ukanisahau mimi” “Siwezi kufanya hivyo mpenzi wangu” “Ok tutoke nje” Tukatoka na kuanza kutembea kwenye kordo huku K2 akiwa amenishika kiuno, kabla hata hatujafika mlango wa kutokea mama Mariam akatoka chumbani kwake, alipo nitazama akakunja sura yake akionekana kuchukizwa na tukio hilo la K2 kunishika kiuno, hata kabla hatujasonga mbele, mlango wa mbele ukafunguliwa na akaingia Mariam akiwa ameshika kifuko cheusi, aliopo muona K2 akajikuta akiangusha kifuko chake na kumfanya K2 kunitazama na macho ya kuniuliza swali juu ya tukio analo liona kwa wanawake hawa wawili.
ITAENDELEA.







Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.