Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MAPISHI YA KUPIKA MKATE WA JURA

Estimated read time: 1 min

Unga wasima kilo kasrobo
Sukari nusu
Nazi 2 kubwa kavu
Iliki yaunga kiasi na vanilla kiasi. Utakua Nazi yako
Utakamua tui zito mag moja kubwa na tui jepesi yani matusha jag zima kama mag 8 Alafu chukua sufuria mbili za kiasi moja tia matusha na sukari iliki weka moto ni nahuku utachukua sufuria ya pili uipake mafua kw we mba mba Alafu chukua bakuli safi tia unga na maji vikuba 3 koronga matusha yakianza kuchekiwa tia unga wako ukoronge usiachie mkono utan za kushikana ukikauka tia tui zito na vanilla  endelea koronga ukikauka mimina kwenye sufuria ulio paka mafua utachoma moto wajua nachini mpaka upinge rangi utaepua upowe  nabaada ya hapo 👌


About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.