.maziwa lita moj
.sukari nusu na 1/4
.corn/casava nusu kikombe
.maziwa ya sona kopo moja
.syrup vijiko 5-6
.cream milk(option)
.rangi za maji
.maji lita tano
*bandika lita moja ya maji jikoni,yakianza kuchemka koroga corn yako kwenye kikombe,kisha weka kwenye
Maji yaliyo jikoni,acha ichemke kwa dakika tano.
Maziwa kama ni fresh yachemshe kwanza
,kisha acha yapoe,halafu changanya na ile lita nne yaliyobaki,weka na vitu vyote vilivyosalia,koroga vizuri mchanganyiko wako,kisha mimina ile corn yako kwenye hayo huo mchanganyiko
Chukua vibakuli vinne au vitano gawa mchanganyiko wako,kisha weka rangi tofauti tofauti katika kila bakuli anza kumimina kidogo kidogo katika vifuko vyako ili upate hiyo rain bow hakikisha syrup imefanya mchanganyiko wako kua na uzito
Enjoy😋