Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MAAJABU YA NDEGE TAI

*_MAAJABU YA NDEGE TAI!!!_*


```
Tai ni ndege pekee mwenye uwezo wa kuishi miaka 70. Lakini kabla ya kufika umri huo lazima afanye maamuzi magumu, yatakayo-
muumiza na kumchukua muda mrefu.
Akifikia umri wa miaka 40, Makucha yake magumu na makali yanakosa uwezo wa kunyakua chakula, mdomo wake uliochongoka unapinda, mabawa yake yanakuwa mazito na kunata kwenye kifua chake hivyo kumfanya kuwa mzito kuruka na kuwa mwenye kasi ndogo...```

_Katika hali hiyo ndege huyo hubakiwa na maamuzi mawili tu;_
_aidha akubali kufa au afanye mabadiliko katika mwili wake ili aendelee kuishi miaka 30 iliyobakia._

```Akichagua kufanya mabadiliko kwenye mwili wake humchukua siku 150 sawa na miezi 5, hivyo huenda katika kilele cha mlima mrefu na kujificha katika pango ambapo watu na wanyama wengine wanaoweza kumdhuru wasimfikie kwa urahisi.
 
Ndipo huanza kujivua kucha, midomo na mbawa zake zilizozeeka huku akisikilizia maumivu makali sana, Baada ya mabadiliko hayo hurudi katika hali yake ya mwanzo ya kuweza kuruka kwa kasi na kupata chakula chake kizuri (Fresh meat,Fresh Fish nk).```

*_NAKUKUMBUSHA TU!_*
_Bado siku 25 sasa ili tumalize mwaka;_
```Hivyo lazima ufanye mabadiliko makubwa sana katika maisha yako, Kwa kujivua baadhi ya tabia ambazo zimeleta Ukakasi katika maendeleo yako ya kimwili na kiroho ya 2018, japo zingine ni ngumu kuziacha na pengine zitakusababishia Maumivu lakini Tambua```
*"No pain No gain"* ```Lazima ujivue baadhi ya Marafiki wasiolekea unakoelekea, Jivue Uvivu, Jivue Uongo, Jivue Mahusiano yasiyo na Amani, Jivue Ulevi, Jivue kulala sana, Jivue Uasherati, Jivue kuahirisha ahirisha Mipango yako, na mengine yanayofanana na hayo.```
_Ikiwa Tai anafanya maamuzi ya kubadilika akiwa na miaka 40, hata wewe bado hujachelewa..._

```Fanya mabadiliko sasa, ingia Mwaka 2019 ukiwa na Tabia mpya na Mtazamo Mpya kwa ajili ya kuanza safari yako mpya ya maisha.```

*_MUNGU Akubariki Sana katika Maamuzi yaliyo sahihi_*
​​​​​​​​​​​​

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.