kutoka kwenye jarida la sleep health inaonyesha kuwa binadamu katika umri tofauti anakuwa na mda tofauti wa kulala. kwahyo watoto mda wao wa kulala uko tofauti sana na mda ambao wanatakiwa walale watu wazima.
Older adults, 65+ years: 7-8 hours
Adults, 26-64 years :7-9 hours
Young adults, 18-25 years: 7-9 hours
Teenagers, 14-17 years 8-10 hours
School-age children, 6-13 years: 9-11 hours
Preschool children, 3-5 years: 10-13 hours
Toddlers 1-2 years: 11-14 hours
Infants, 4-11 months 12-15 hours
Newborns, 0-3 months: 14-17 hours
vitu kama tabia ya mtu, genic na mazingira kwa ujumla huwa na thari kwenye mda wa mtu anao takiwa kulala. lakini kulala masaa saba ni vizuri vizuri kuepuka kupata matatizo yatokanayo na kukosa usingizi.
Yafahamu madhara ya kutopata usingizi au kulala mda mfupi?