Notification texts go here Contact Us Buy Now!

CHANZO CHA TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO

Unasumbuliwa na tatizo la ganzi kwenye miguu au mikono au vyote kwa pamoja. Au unandugu ama rafiki anaye lalamika kusumbuliwa na tatizo hilo bila kujua chanzo cha tatizo hilo ni nini. Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana

Unasumbuliwa na tatizo la ganzi kwenye miguu au mikono au vyote kwa pamoja. Au unandugu ama rafiki anaye lalamika kusumbuliwa na tatizo hilo bila kujua chanzo cha tatizo hilo ni nini. Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote na unaishia kuendelea kuteseka na tatizo hili kwa mda mrefu.


NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

1:UMRI
Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea

2:KISUKARI
Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi

3:DAMU NZITO
Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.