Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MWANAUME KUMSAIDIA KAZI MKEO SIO UBWEGE NI KUBORESHA MAPENZI

Kumeibuka wimbi kuubwa la mawazo finyu kwa waume waliowiingi majumbani mwao*


*❤🏖❤🏖❤🏖❤🏖❤🏖Kaa ukijua mapenzi sio kitandani tu,  tambua hata wazee wetu waliishi miaka mingi na wake zao kwavitu vidogovidogo tu walivyofanyiana*

👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼

*MUME kumsaidia mkeo vikazi vyanyumbani haimaniishi kuwa wewe sio mwanaume tena kwani hakuna hata kitu kimoja kitakacho pungua mwilini mwako, utabaki kuwa mwanaume kama ulivyo awali,*🏰🏰🏰🏰🏰 


*Niufinyu wamawazo eti kumsadia mkeo kupika, kusuza vyombo, kukuna nazi ama kumshika mtoto nahata kufua kuzani kuwa ni ubwege🏖❤🏖❤🏖❤🏖👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼*

⛱Elewa mwanandoa hakuna kitu kitamu kama ndoa yenye furaha, mapenzi na huruma,    Hebu mume mfanye mkeo awe na hamu nawewe kila kukicha atamani uwepo wako nyumbani,❤👗❤👗❤👗❤👗❤👗Sio lazima ufanye kila siku,  hebu panga siku kisha mwambie mkeo,   baby hebu leo pumzika kupika nataka nikukarangizie Mimi leo,  ama mwambie kwaupole. Mkewangu unafanya kazi kila siku hebu leo kaa upumzike wacha nifue mie,  ama mwambie,  mrembo wangu leo nnahaamu tupike pomoja pika wali nipike mboga,  Halafu angalia ni furaha kiasi gani mkeo atajiskia👗🏖👗🏖👗🏖👗🏖👗🏖👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼*

*🏖👗❤Ama umkuta mkeo mikazi imemuelemea pekeake, mfuate mkiss mkumbatie kisha muulize kimahabah,  sweeetyy nikusaidie kazi gani ili timalize haraka , huku ukitabasamu na kumuangalia usoni,  hakika mkeo atajihisi mwenye thamani kubwa sana kwako❤💋❤💋❤💋❤💋❤*

*NAKUMBUSHA TU 👉🏼Furaha na mapenzi kwenye ndoa yako inaundwa nawewe mwenyewe usitegemee mtu wa nje kukuletea furaha ndoani mwako⛱❤⛱❤⛱❤⛱❤⛱❤Yapo mng yakuongea ila wacha niishie hapo kwaleo,  mlikuwa nami mwanafunzi mwenzenu *Al Akhyy Masoud*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.