MAHITAJI:
- Karanga 1/4kg ( robo)
- unazikaanga kdg thn unazisaga kwa chupa kidogo ili zibaki na vipandevipandem
- unga wa ngano 1/4 robo
- maziwa ya unga 1/2kg
- vanilla essence kidogo
- Red colour and green colour food,
- sukari 1/2kg (nusu) unagawa robo 2
Methods
- Maziwa unatakiwa uyagawe sehem 2 ktk ile nusu kilo
- Na unga robo unaugawa mara 2 pia thn unga changanya na zile karanga ulizozisaga .
- Step 1
- weka sufuria yko jikon weka maji kias kama kikombe 1
- Tia sukari ile robo moja pamoja na rangi nyekundu kidogo, wacha ichemke mpaka mchanganyiko wako uwe mzito,
- thn mimina mchanganyo wako wa karanga ,maziwa na unga tia kidogokidogo hadi iwe saizi nzuri
- Step 2
- Tena changanya maziwa yaliobaki na unga wa ngano uliobaki weka pembeni
- Thn weka sufuria jengine tia maji kikombe kimoja na sukari robo na green colour wacha ichemke mpaka iwe nzito kiasi zaidi ya ile ya kwanza
- Tia mchanganyo wako kidogokidogo hadi ufikie hatua ya kushikana
- Sasa chukua mchanganyo wako wa rangi ya kijani na weka ktk mkono wako ufanye kama kutengeneza nusu duara yenye shimo kati then juu yake chukua donge la red colour ulitengeneze duara ndogo uiweke ndani ya ile nusu duara ya kijani then chukua donge jengine la green lifunike lile la red mpk ufanye duara
- (I mean like a ball )ili iwe na muonekano kabisa wa pera weka karafuu juu ya duara zako, then wacha kidogo kama dakika 15 then kata katikati and serve wid coffee its yummyyyyyy.