Notification texts go here Contact Us Buy Now!

kupunguza uzito: Unazijua njia rahisi za kupunguza uzito wa mwili na kuwa na afya bora?

Watu wengi wamekubwa na tatizo la kuwa na uzito mkubwa mbao umekuwa ukiwasumbua kwa muda mrefu na wengine hata kuwaletea matatizo ya kiafya. Kuwa una uzito mkuwa kwanza unatokana na vyakula tunavyokula na aina ya maisha tunayoishi (lifestyle) ndivyo vinavyo pelekea mtu kuwa na kitambia, kuwa na matatizo ya kiafya kama pressure na kisukari. kwa kuwasaidia wale ambao wanotaka kupungua uzito hizi hapa ni njia ambazo wengi ambao wako kwenye utaratibu wa kupunguza uzito awazifahamu.
watu wengi wamekubwa na tatizo la kuwa na uzito mkubwa mbao umekuwa ukiwasumbua kwa muda mrefu na wengine hata kuwaletea matatizo ya kiafya. Kuwa una uzito mkuwa kwanza unatokana na vyakula tunavyokula na aina ya maisha tunayoishi (lifestyle) ndivyo vinavyo pelekea mtu kuwa na kitambia, kuwa na matatizo ya kiafya kama pressure na kisukari. kwa kuwasaidia wale ambao wanotaka kupungua uzito hizi hapa ni njia ambazo wengi ambao wako kwenye utaratibu wa kupunguza uzito awazifahamu. Njia hzo ni kama;

Kula vyakula vya protini kama kifungua kinywa





kama vile samaki, mayai, maharage. lakini nyia rahisi ya kupata protein kama kifungua kinywa ni kwa nyia ya mayai kwasababu hayaitaji muda mwingi kuandaa so inakusaidia hasa kwa wale wafanyakazi au wanaosoma ambao huwa wanaitajika kuwahi katika shuhuli zao za kila siku. ni muhumi kuzingatia kuwa mlo wako wa asubuhi uwe na protini na kupunguza kula vitu vyenye sukari nyingi.

Kuepuka vinywaji vyenye sukari na maji ya matunda.


vinywaji hvyo ni kama soda, juice zilizo sindikwa viwandani na zile zote zilizo ongezwa sukari. ili uweze kupungua uzito na pia kwa faida ya afya yako kiujumla ni lazima kuepuka matumizi ya vyakula venye sukari. kutokana na utafiti uliofanywa na Lustig unaelezea ni jinsi gani sukari inavyoweza kuwa sumu mwilini.Epuka sukari kwa ubora wa afya yako.

Kunywa maji nusu saa kabla ya milo.


kama tujuavyo maji ni ya muhimu sana katika mwili na yanafaida kubwa sana katika ufanyaji kazi mwilini. kwahyo unywaji wa maji na wakuzingatia ni wa kila siku na wakuzingatia sana. lakini unywaji wa maji wakati wa chakula au baada tu ya chakula huwa si kitu kizuri. unawezekana ukawa miongoni mwa watu ambao mnapendelea kula chakula pamoja na maji au ni miongoni mwa wale akishamaliza tu kijiko cha mwisho anakisindikiza na maji ya kutosha.jua kuwa kuna vitu hatari kufanya baada ya kula. na kama wewe ni mwingoni mwa hao tajwa basi kwazia leo hyo tabia ni ya kuacha kwasababu sio nzuri kiafya na pia kama unataka kupungua uzito. Najua utakua unajiuliza kwanini sio vizuri kunywa maji wakati wa kula au punde tu baada ya kula? Jibu ni kwamba, unapokunywa maji wakati wachakula yanasabisha digestion isifanyike kwa wakati na pia yanasababisha mafuta yalioko kwenye chakula kuganda hvyo kusababisha digestion kutofanyika vizuri. ushauri wangu kwako, kama unapendelea kutumia kinywaji wakati wa kula basi kinywa unachotumia kiwe cha moto au uvuguvugu mfano kama vile maziwa, chai, kahawa na vinginevyo

Kunywa kahawa au chai.

unywaji wa kahawa ni mzuri kwa kupunguzu uzito wa mwili hususani pale ukiwa unafanya na mazoezi. kahawa inasaidi katika umeng'enywaji wa chakula mwilini na pia inasaidia kudigest fats katika chakula. so kama ulikuwa unataka kupungua uziti, tumia kahawa asubuhi ambao ndio muda mzuri wa kutumia kahawa na epuka kutumia kahawa nyakati za jioni kwasababu haitakuwa na faida nyingine zaidi ya kukunyima usingizi ambacho sio kitu kizuri katika afya yako. na kumbuka unywaji mwingi wa kupitiliza wa kahawa sio mzuri kwa afya yako. so ladies and gentlemen don't over drink coffee.

Fanya mazoezi ya mwili

mazoezi ni kitu cha muhimu sana kama unataka kupungua uzito na pia kuuweka mwili wako katika shepu nzuri. leo nataka kukuambia ni muda gani mzuri wa kufanya mazoezi ya mwili na ni mazoezi gani mazuri ya kufanya ili kupunguza uzito wa mwili wako.




watu wengi hupendelea kufanya maoezi nyakati za jioni ambapo wanakuwa hawana majukumu na wameshamaliza kazi zao ambacho ni kitu kizuri sana. lakini muda mzuri wa kufanya maoezi kwa ajili ya kupungua uzito ni asubuhi wakati umeamka kabla ya kula chochote. swali utakalo jiuliza ni kwanini? ok. jibu ni kwamba wakati wa asubuhi mwili unakuwa hauna glucose iliozidi mwilini, kwahyo unapofanya mazoezi asubuhi ile sukari iliokuwa kwenye damu itaisha mapema na kuupelekea mwili kuyeyusha mafuta yaliokuwa yameifadhiwa mwilini ili uweze kupata nguvu. So, baada ya kulijua hilo ni mazoezi gani ya kufanya? najua ndio swali litalokuwa limebakia kichwani kwako, na jibu lake ni kwamba mazoezi mazuri ya kufanya kwa ajili ya kupunguza uzito wa mwili ni ya aina ya 'cardio vascular exercises' haya ni mawoezi ambayo yanaongeza mapigo ya moyo. mfano kukimbia, na nina maanisha kukimbia kwa kasi umbali wa mita mia (urefu wa uwanja wa mpira wa miguu) na kupumzika kwa sekunde 30 kila baada ya kumaliza hizo mita mia. fanya hili zoezi mara nyingi uwezavyo lakini kwa ushauri na matokeo mazuri kipimbia hizo mita mia mara 3. Kama umefanikiwa kukimbia zaidi ya hzo tatu unaweza kuongeza round moja moja kila siku.

Kula zaidi vyakula natural au organic (unprocessed).

Vyakula ambavyo vimesindikwa (processed) vinakuwa vimeekewa preservatives ambavyo sio vizuri kwa afya yako. na vingi huwa vina sukari ya kuongeza ambayo huongeza uzito wa mwili. so epuka kula vyakula vya kusindika na uanze kutumia vyakula ambayo ni vya asilia (natural). Pia nimeandaa post inayoonesha Vitu hatari kufanya baada ya kula na pia kwa wale wapenzi wa tangawizi zifahamu faida 48 za juice ya tangawizi ambazo ulikuwa huzijui.

kama una mbinu nyingine nzuri za kupunguza uzito unaweza ukashare nasi kwnye comment box hapo chini na pia unaweza ukashare na watu ambao wanataka kupunguza uzito au ukashare facebook, twitter au kupitia whatsapp ili kuwasaidie na wengine wenye uhitaji wa information hii.






TAARIFA ZINGINE MUHIMU:




DONDOO 9 MUHIMU SANA KWA WALEZI/WAZAZI NA WAZAZI WATARAJIWA WOTE


About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.