2. Huua bakteria wa aina nyingi mwilini
hata salmonella ndani ya mwili hata juu
ya ngozi
3. Kuna viua vijasumu (antibiotics) vya
asili viwili kwenye tangawizi
4. Huondoa uvimbe mwilini
5. Huondoa msongamano mapafuni
6. Tangawizi inayo ‘zingibain’ ambayo
huua vimelea mbalimbali vya magonjwana mayai yake
7. Huondoa maumivu ya koo
8. Huua virusi wa homa
9. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini
10. Huondoa homa hata homa ya baridi
(chills)
11. Hutibu saratani ya tezi dume.
Tangawizi huua kimeng’enya ambacho ni
chakula cha seli za kansa ya tezi dume
kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za
kansa hufa ndani ya masaa mawili au
manne bila hicho kimeng’enya.
12. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana
ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za
kansa ya kongosho kiitwacho kwa
kitaalamu kama ‘gingerol”
13. Hutibu kansa zinazoweza
kusababishwa na kupata choo kigumu
muda mrefu (constipation-r
elated cancer)
14. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenyedamu (leukemia)
15. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya
mapafu (lung cancer)
16. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria
huyu ndiye husababisha vidonda vya
tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na
kanza mbalimbali za tumbo
17. Ni msaada sana katika kuzuia na
kutibu kansa ya titi
18. Hutibu kanza za kwenye kizazi nakanza za kwenye mirija ya uzazi
19. Huongeza msukumo wa damu
20. Husaidia kuzuia shambulio la moyo
21. Huzuia damu kuganda
22. Hushusha kolesto
23. Husafisha damu
24. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa
mishipa
25. Hutibu shinikizo la juu la damu
26. Husafisha utumbo mpana
27. Hupunguza mishtuko kwenye utumbo
mpana na tumbo kuunguruma
28. Huondoa GESI TUMBONI KIRAHISI
ZAIDI
29. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa
chakula
30. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu
31. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia
hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe
na kichefuchefu
32. Husaidia kuondoa maumivu kutokan32. Husaidia kuondoa maumivu kutokana
na mkao mmoja wa mrefu ama kusimama
au kukaa
33. Husaidia uzalishwaji wa juisi
vimeng’enya kwa ajili ya kumeng’enya
chakula
34. Husaidia kuzuia kuharisha
35. Husaidia mfumo wa upumuaji na
kutuliza dalili za pumu
36. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto
37. Hutibu homa ya kichwa
38. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa
hedhi
39. Hutibu homa za asubuhi hata kwa
mama mjamzito
40. Husaidia kupunguza homa ya baridi
yabisi (helps reduce inflammation of
arthritis)
41. Huimarisha afya ya figo
42. Husaidia kupunguza uchovu
unaotokana na matibabu yaliyopita ya
mionzi
43. Ina madini ya potassium ya kutosha
44. Ina madini ya manganese ambayo ni
mhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga
ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali,
hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya
damu na mishipa ambako mikojo hupita
45. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho
chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya
ya ngozi, nywele, meno na kucha
46. Husaidia umeng’enywaji wa madini ya
calcium
47. Pia ina vitamini A, C, E, B-complex,
chuma, zinki , magnesium, phosphorus,
sodium, calcium, na beta-carotene
48. Hulinda kuta za moyo, hulinda
mishipa ya damu na mishipa ambako
mikojo hupita
BLEND KAMA UNAVYO TENGENEZA JUICE YA KAWAIDA KISHA KUNYWA GLASS MOJA KWA SIKU.
AU UNAWEZA KUJENGA MAZOEA YA KUTAFUNA VIPANDE KADHAA KILA SIKU ASUBUHI KABLA HUJALA KITU
Tafadhari share
TAARIFA ZINGINE MUHIMU:
DONDOO 9 MUHIMU SANA KWA WALEZI/WAZAZI NA WAZAZI WATARAJIWA WOTE