DONDOO JIKONI NJIA YA KUHIFADHI MAHARAGE YAKAE ZAIDI MWAKA BILA KUHARIBIKA NA KUTOA WADUDU
-chukua maharage yako, ukipenda unaweza kuyatoa taka kabisa ili wakati wakati wa kupika usipate tabu.
-baada ya hapo, yaweke kwenye ungo au hata mkeka kama ni mengi sana kisha uyatie majivu yaani uyachanganye changanye na majivu hakisha maharage yote yanapata jivu vizuri.
-baada ya hapo yatie kwenye madumu kisha ufunge vizuri mfuniko yasiingie hewa, pia unaweza kutumia ndoo cha muhimu ubane vizuri mfuniko kusiwe na sehemu ya kupita hewa.
Hapo maharage yako yatakaa muda mrefu bila ya kuwa na wadudu, huku ukiwa unatumia kidogo kidogo.DONDOO JIKONI
NJIA YA KUHIFADHI MAHARAGE YAKAE ZAIDI MWAKA BILA KUTOA WADUDU
-chukua maharage yako, ukipenda unaweza kuyatoa taka kabisa ili wakati wakati wa kupika usipate tabu.
-baada ya hapo, yaweke kwenye ungo au hata mkeka kama ni mengi sana kisha uyatie majivu yaani uyachanganye changanye na majivu hakisha maharage yote yanapata jivu vizuri.
-baada ya hapo yatie kwenye madumu kisha ufunge vizuri mfuniko yasiingie hewa, pia unaweza kutumia ndoo cha muhimu ubane vizuri mfuniko kusiwe na sehemu ya kupita hewa.
Hapo maharage yako yatakaa muda mrefu bila ya kuwa na wadudu, huku ukiwa unatumia kidogo kidogo.