JUICE YA EMBE MBICHI
MAHITAJI YA KUTENGENEZA JUICE YA EMBE BICHI
2 Maembe mabichi
1 kikombe sukari (unaweza kupunguza)
3 vikombe maji masafi ya kunywa
1 kipande (urefu wa nusu kidole) cha tangawizi fresh
½ kijiko cha chai chumvi
Vipande vya barafu kadri unavyopenda
Namna ya kuandaa juice ya EMBE bichi
Osha tangawizi na embe menya katakata vipande,weka ktk blender pamoja na chumvi, sukari na maji kidogo saga ilainike. Mwisho changanya na maji yaliobaki , sevu na vipande vya barafu juice itakuwa
