Notification texts go here Contact Us Buy Now!
Machapisho

MKE  JIKO JAMANI

*MKE  JIKO JAMANI*

Mwanamke umeolewa Acha uvivu mpikie mumeo afurahie chakula chako sio uvivu tuuu haifai

Bibi wee tuliza akili yako jikoni umpikie mumeo chakula  akifurahie, sio mumeo anarudi kutoka kazini chakula hujapika na pesa umeachiwa niwewe na chips ,,,chips naww

Kua MBUNIFU leo upike hiki kesho kile hata kama Hali ngumu Japo ni ugali lakini badilisha mboga sio kisa Hali ngumu ndio kila siku unampikia mumeo  ugali, dagaa haifai

Kwa wale wengine kila kitu unacho ndani uvivu wanini mpikie mumeo chakula kizuri na kitamu

Mume wako yupo kazini mpigie simu, mume wangu leo nikupikie nini akikwambia utakachopika ndicho ntakachokula mke wangu basi hapo bibie tuliza akili jikoni mpikie kile akipendacho.

 Utakapo kuwa na tabia ya kumpikia mumeo chakula kizuri  hatamani kula popote zaidi ya nyumban

Usiwe mvivu tangu umeolewa umeekewa mfanyakzi basi ndio uingii jikoni kila siku mpishi ni mdada wa kazi mumeo hajawah kula chakula chako utakimbiwa bibi

Unapokua jikoni weka simu pemben mpikie mumeo sio uku simu uku unapika kila siku itakua unaunguza chakula na kua hakina mvuto, tuliza akili umpikie mumeo

Tabia ya kuwa  unaachiwa pesa unabania unampikia mwenzio chakula hakina mvuto wacha,
Mpikie mumeo chakula kizuri

Mtengee vizur wakati wa kula kuleni pamoja huku mkilishana, na maneno matam mkipeana

Hakika mumeo atafurahia chakula chako kila siku katika ndoa yenu

Itafikia wakati hata chakula kikipikwa na mtu mwingne mumeo  atajua ichi hakijapika na mke wangu kwa jinsi unavyompikia yale Mahanjumati na zile sharubata

*MWANAMKE JIKO*

*Ukiyapenda yachukue yafanyie kazi*

**mendemyself **

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.