Notification texts go here Contact Us Buy Now!

KANIPONZA MAMA SEHEMU YA 04

*KANIPONZA MAMA*
*MUANDISHI HASSAN KUMBILO*
*MAWASILIANO 0688097663*
*SEHEMU YA NNE*
*join simulizi na kumbilo group*

Ilipoishia sehemu ya tAtu..... Nasra umemsikia mama AKO yaani leo nampiga.
Sasa songa nayo ya nne.

Baba embu acheni sasa munani fundisha nini mtoto wenu. Au ndo munaona raha kila kukicha nioneshewe vidole mimi. Jamani ifike mahala mutumie utuuzima wenu.
       Nasra nisamehe mwanangu lakini huyu mama ako ananiumiza sana maneno yake. Wacha niende kwenye bao niepushe shetani. Mzee araphati alitoka kwake mikono ikiwa kichwani .
           Mama kwanini umebadilika kwa kiasi kikubwa tatizo ni nini kweni.?
Mmmh nasra mwanangu ungekuwa kipofu ningekujibu swali lako. Ila kwakuwa nimekuzaa na nimekulea na nnajuwa kuwa unaona wala sikujibu.
  Waswahili wanasemaga *kusoma ujui hata picha uoni.?*.
       Lakini mama kuna haja gani kunificha wakati mimi ni mwanao si uniambie tu.
      Nasra nimechoka maisha ya baba ako kila siku yeye tu hana sasa mimi naishije na mwanaume huyo. Kibaya zaidi hana mbere wala nyuma yuko kama taili la fuso.
      Mama inatosha tena kweni apo awali kipindi baba ana kazi yake mbona tulikua tunaishi vizuli tu nyumbani. Aliopata leo kapewa na mungu na sie tuliekosa pia katunyima mungu wacha tusubilie inshaallah mungu atatupa.
         Kweli nyoka azai mbwaa yaani wewe na baba ako akili zenu sawa. Mimi naondoka zangu mchana na usiku mutajuwa munakula wapi naludi zangu usiku sana.
     Mama sasa unaniachaje . heeeee eeeee heeeeee uhondo . *kweni baba ako amekuachaje?*
       
          *upande wa mzee araphati.*
Mzee alikua hana laha kabisa hata kwenye bao alishindwa kucheza kabisa. Rafika mmoja ambae anaitwa *jm*. Alimuuliza mzee araphati vipi kaka uko sawa kweri. Alijibu kwa unyonge kabisa jm rafiki yangu nisikufiche. Familia yangu iko katika hali ngumu sana. Na kaka nashindwa kuonesha uwanaume wangu kwa mke wangu. Ananipanda sana kichwani.
        Kaka pole habari zako nazisikia sana mwanangu safuni aniniadisia sana. Maana ni jirani na nyie. Sasa wewe kaa sawa kwanza alafu baadae njoo kwangu tuongee.
      Wakati wanaongea habali zao kuna mzee alilopoka kumlopokea mzee araphati. Wewe mzeee mume bwege leo sio zamu yako nini kupika nyumbani.
       Mzee araphati alimuaga tu rafiki yake jm nakumuaidi ataenda kwake. Ila mzee alie kuwa akimlopokea arafati akuacha kuongea. Sasa kama huna pesa muuze mwanao mbwaa wewe.
     Yaaani unatuzalilisha sana wanaume wenzio . yaani mkeo ana danga hela za haramu munakuja kupewa wewe na mwanao.
    Mzeee araphati alishindwa kujizuia. Na alianza kuokota mawe.

        *upande wa mama nasra*

    Alivyo toka zake kwake na hasira alikutana na mteja wake yuko bar anakula na kunywa alimsalimia. Boss wangu kwema. Oooh mama nasra mbona mbali mbali kalibu njooo.
       Shoga naona aibu na hiki kijola mpauko mahala hapo nntakutia tu aibu wacha niende. Ahaaa acha kujishusha mAmA nasra mwanamke kujiamini babu.
      Basi ilibidi aingie na yeye bar. Shoga leo samaki auna au wameisha sikuoni na beeseni. Leo biashara imekua mzuli nashukulu mungu mapema nimemaliza.
      Wakiwa wako hapo alikuja mtoto wa mama aliemuita mama nasra. Shikamooni. Marhaba mwanangu ujambo enheee. Sijambo mama mimi naondoka naenda kule nilipo kuambia.
       Sawa safari njema lakini unaona nimepata mgeni. Sasa tuta kula nini. Wewe tena mama angu kwa pesa. Sasa bora kila mtu nimpe yake.
      Binti aliingia kwenye mkoba nakutoa pesa na aliesabu elfu kumi mala saba na kumpa mama nasra.
       Kisha alimpa na mama ake pesa kama hiyo. Mama nasra aliuliza hizo za msingi au....
       *itaenderea........*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.