*MUANDISHI HASSAN KUMBILO*
*MAWASIRIANO 0688097662*
*SEHEMU YA PILI*
ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA..... nasra alimuuliza mama ake swali. Mr Paul ni nani yako mama...??
Sasa endereaaa...
Mama alimuangalia mwanae kisha alimnyali. Alafu alimuambia *kuwa uyaona mtoto*
Baada ya kuongea hayo nasra alimuangalia mama yake nawala asimpatie jibu.
Kikohozi kilienderea kwa Mzee araphat usiku mzima alikohoa.
*majira ya SAA kumi na moja arfajiri*
Mama nasra aliamka nakuanza kuanda vyombo vyake vya kubebea samaki wakati anajianda mwanae aliamka nasra.
Mama shikamoo. Marhaba mwanangu ujambo. Anhaa sijambo tu nashukulu mungu sijui wewe. Kwa kweri Mimi mzima si unaona mwenyewe nachukua vyombo nikatafute pesa.
Hakika najivunia sana kupata mama kama wewe .
Chefu ushaanza nasra kunitibuwa enhee. Hivi unafikilia Mimi napenda upuuzi huuu. Kwa taalifa yako Mimi sipendi ila huyo marehemu mtarajiwa ndo chanzo cha haya.
Jamani mama..!! . nyoko nyoko nini uongo hivi nasra ukiulizwa unae baba utajibu nini..?.
Nntajibu kwa kujiamini sana nA nntasema nnae baba. Tena baba bora sana anaitwa Mzee Arafati.
Yaani nasra wewe na Huyo marehemu baba ako wote sawa na kama kweri baba ako ni bora siachi pesa ya chai tuone kama mtakula.
Mama bhana si wajua baba hana kazi.
Mala ikasikika sauti ya Pikipiki barazani . na mlio wa honii juu. Ilhamu alimuambia mwanae .
Nasra mwanangu Mimi naondoka Mr Paul huyo kafika ananipelekaga feri bure. Ila nikuombe kitu kimoja. Baba ako huyo marehemu akiamka asubuhi mwambie nimelala kwako toka SAA NNE sawa.
Ole wako upindishe . lakini mama. Lakini nini usinitibue kabisa.
Mmmh sawa ila kwanini umebadilika kiasi hiki.? *swali hilo muulize baba ako byeee.*
Mama alitoka nnje na kupanda Pikipiki safari kuerekea feri na Mr Paul.
Nasra alifunga milango na kuludi kulala.
*BAADA ya MASAA MANNE*
NASRA we nasra mwanangu. Abee baba shikamoo. Marhaba aya kulikoni mpaka sasa ujaamka unaumwa au.?
Siumwi baba ila tu jana sijapata usingizi kama Siku zote. Haaaa haaa uyo ndo ilhamu Mke wangu. Yaani akilala kama nyani juu ya MTi. Utapigwa teke mala ngumi pole mwanangu Leo asilale huku sawa.
Sawa baba. Na vipi jikoni mbona kama kalala paka akusomeki.
Mama ajaacha pesa ya matumizi baba na Mimi sina hata pesa yaani njaa inauma sana.
Pole mwangu Mimi nna mianne tu wacha niangalie hata vitafunwa tunywe na Maji uenda jana mama ako biashara ilikua ngumu.
Wakati anafungua tu mlango ili akanunue vitafunwa Mzee araphat alikutana na mgeni ambae akupenda hata kumuona.
*itaenderea sehm ya tatu.....*