Notification texts go here Contact Us Buy Now!

KISA CHA KWELI | kijana alionekana akisoma Qur'an Jela

KISA CHA KWELI

KISA CHA KWELI |  kijana alionekana akisoma Qur'an Jela

Mfahamu kijana huyu aliyeonekana akisoma Qur'an jela,jina lake ni Nafis Yaqoub ni kijana wa Thailand ambaye aliingia Malaysia kinyume na sheria kwa lengo la kufanya kazi.
Siku moja alitoka alipokuwa amejificha kwa kuogopa kukamatwa na kwenda kutafuta chakula cha kununua.
 Bahati mbaya akakutana na police wa Malaysia na kumuuliza utambulisho wake,police alimchukua na kumpekeka chumba cha mahojiano na kugundua kuwa alikuwa Mthailand na alikuja Malaysia kinyume na sheria hivo wakamuweka jela wakisubir utaratibu wa kumrudisha kwao.
Jela kulikuwa na joto sana hivo ikamlazimu avue shati na kusubiri chakula,wakati abasubiri chakula akawa anasoma Qur'an  sauti yake ilikuwa nzuri Sanaa.
Moja ya Askari akamrekodi na kuichapisha kwenye mitandao ya kijamii ( internet) kijana nasif akapata umaarufu Sana.
Hii ilimpelekea Nasif Yaqoub  police wamuachie kutoka gerezani walipokuwa wanamshikilia na kuchaguliwa kuwa Imam katika msikiti huko Malaysia,akashinda zawad mbalimbali na fedha za kutosha akawa anatoa kwa wakimbizi BURMA.
Na leo ni miongoni mwa maimamu maarufu sana Malaysia.
              SUBHAN ALLAH
   " Tusikate tamaa na rehma zake Allah,kila jambo linalokufika lina sababu zake" 
      Namuomba Allah atujaalie sote tuwe waumini wa KWELI,Ameen

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.