Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI AFFILIATE MARKETING INAVYOFANYA KAZI 2020

Fahamu jinsi affiliate marketing invyoanya kazi hatua kwa hatua kwenye blog yako
AFFILIATE MARKETING INAVYOFANYA KAZI

Jinsi gani Affiliate Marketing inavyofanya kazi?

Kuna njia nyingi sana za jinsi affiates wanavyofanya kazi siku hizi, but yote hayo yana base kwenye kitendo cha watu kubonyeza na kutembelea special tracking links (affiliate links).

Njia inayotumiwa na wengi kuweza kutrack hizo link ni kwa kutumia cookie ambazo zinajisave kwenye simu au laptop na hubaki kama kumbukumbu ya kuwa link husika ilifungulia kwenye kifaa hisika.

Pale affiliate link inpokuwa clicked, file dogo ambalo ndio linaitwa cookie linajisave kwnye computer yako ama simu yako. so unaponunua product kupitia affilaite links yule muuzaji anaweza kuona kuwa mtumiaji aliyenunua bizaa flani ametumia link yako, so wewe ndio utakae pata credit ya kutautia huyo muuzaji mteja na ndipo utakapo pewa asilia lani kwenye malipo au manunuzi atakayo fanya mteja huyo ulie mrefer.

Kuna njia ambazo ni more advanced na zinabase kwenye matumizi ya e-mail na IP-address, But kwa leo sito discuss hili kwasababu alina umuhimu sana kwa amaye anza kujiunza Affiliate marketing.

Hizi hapa ndizo steps 8 za kuanza kufanya Affiliate Marketing kwenye Blog yako:

  • Step 1: Tenegeneza website au Blog mpya. Jifunze jinsi ya kufungua blog mpya
  • Step 2: Changua industry na Niche ya hiyo website au blog yako (mfano: inaweza ikawa ya fashion, mapishi, sports etc)
  • Step 3: Fanya research ya products ambazo zipo ndani ya Niche yako ambazo unaweza ukazifanyia review.
  • Step 4: Jiunge na Amazon Affiliate Program
  • Step 5: Tafuta affiliate programs za products zingine ambazo ungependa kuzifanyia review.
  • Step 6: Tengeneza content ambazo zinaweza zikawa kwenye muundo wa tutorials, riviews, resource pages au post za kawaida na ndani ya content zako tumia affiliate links zako
  • Step 7: Optimize page zako iliziweze ku-rank google na uweze kupata viewers wengi zaidi ambao baaazi yao watafungua link zako.
  • Step 8: Fanya hivyo kwa kila product unayotaka kuipromote kwa kuitafuta kwanza kwenye affiliate programs (Step 5) na kuendelea mpaka step ya mwisho. Na tambua kuwa unavyozidi kuwa na contents nyingi ambazo zina afiliate links zako ndivyo jinsi unavyozidi kujiongezea chance ya kupata pesa nyingi zaidi.

Hizo ndio njia simple ya jinsi ya kufanya affiliate marketing hasa kwa mtu ambaye ndio anaye anza kufanaya affiliate marketing. Pia unzaweza kujifnza Jinsi ya kufanya kazi kama Freelance

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.