Kuna wakati mwingine mume kakimbilia nyumbani mara kakuvamia ghafla anataka mzigo. Mke usichukie.. mwambie subiri nikusafishie nikupe mzigo..mzigo ni wa mumeo anapotaka wakati wowote. Huenda akawa ametamanishwa huko nje na wanwake wanaojiachilia wazi..usimlaumu mumeo kwa kuona wakati mwingine macho yanashindwa kutoona haswa katika hali ya sasa tuionavyo.
Viguo sexy vya chumbani vinavaliwa hadi mabarabarani.
Hii inasababisha mfazaiko kwa wanaume. Lakini kama mke unajua kazi yako basi waume hawana tabu mbio utakimbilia kwako ukapewe mzigo❤.
Raha ya ndoa hiyo.
Na wewe mke usiwe karaha ukamfanya mume ashindwe kurudi nyumbani baada ya kufazaishwa na vibiritingoma.
Kazi kuu ya mke ni kumridhisha mume kwa tendo la ndoa au sex ukipenda..ukifeli hapa basi ndoa yako ina mapungufu.
Tunawaomba wake mjitahidi kwa hili..❤❤