Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MUME AKITAKA CHA HARAKA MPE

DARASA LA MAHUSIANO

Kuna wakati mwingine mume kakimbilia nyumbani mara kakuvamia ghafla anataka mzigo. Mke usichukie.. mwambie subiri nikusafishie nikupe mzigo..mzigo ni wa mumeo anapotaka wakati wowote. Huenda akawa ametamanishwa huko nje na wanwake wanaojiachilia wazi..usimlaumu mumeo kwa kuona wakati mwingine macho yanashindwa kutoona haswa katika hali ya sasa tuionavyo.
Viguo sexy vya chumbani vinavaliwa hadi mabarabarani.
Hii inasababisha mfazaiko kwa wanaume. Lakini kama mke unajua kazi yako basi waume hawana tabu mbio utakimbilia kwako ukapewe mzigo❤.
Raha ya ndoa hiyo.

Na wewe mke usiwe karaha ukamfanya mume ashindwe kurudi nyumbani baada ya kufazaishwa na vibiritingoma.
Kazi kuu ya mke ni kumridhisha mume kwa tendo la ndoa au sex ukipenda..ukifeli hapa basi ndoa yako ina mapungufu.

Tunawaomba wake mjitahidi kwa hili..❤❤

Maoni 1

  1. 💞 *MAMBO MATANO MFANYIE MUMEO BAADA YA KUTOKA KUOGA, ATAKUGANDA KAMA SUMAKU !!* 💞

    Ni kawaida kwa mwanamke anayejitambua kumuandalia mazingira mazuri mumewe hususan katika nyakati za kuuweka mwili safi.

    Baada ya mumeo kutoka kuoga ,kama mwanamke leo famasia yako ya Furaha ya Ndoa tunakuletea mambo matano muhimu ambayo ukimfanyia mwenza wako ni vigumu kuachana nawe.

    1⃣ *MFUTE MAJI KWA*
    *TAULO SAFI* ◀

    Mumeo anapotoka kuoga cha kwanza kumfanyia ni kumfuta maji yote mwilini mwake kwa taulo au kitambaa kisafi huku ukimshika nywele zake katika hali ya tabassamu la usoni mwako, hili linamharibu akili sana mwanaume na kudumu kukuwaza wewe.

    2⃣ *MVISHE VAZI ZURI ULILOMUANDALIA* ◀

    Baada ya kumfuta maji basi hatua ya pili ni kumvisha nguo nzuri ulizomiandalia ,iwe za kazini au za kulalia, kwa hili wanawake wengi wanafeli ila mjue kuwa mume anavishwa,havai mwenyewe, mchagulie nguo nzuri na umvishe ,atakuganda sana.

    3⃣ *MPE MANENO MATAMU YA KUMSIFIA* ◀

    Baada ya kumvisha vazi zuri ulilolichagua wewe hatua …
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.