HANCY KUMBILO
0715364116
SEHEM 9.
BARUA ILIANDIKWA HIVI..
"Najua umepewa kazi yakuni maliza na nimejua ata wazee wangu umewa angamiza wewe . Sasa nakuomba sana tena ndugu mganga kwa halii hii mimi ata asubuhi sifiki ivyo nikuombe kitu na kama autojali msaidie. Kuna kijana alinipa msaada baada ya kuanguka chooni anaitwa HASSANI lakini amesingiziwa amenibaka na ukweli akunifanyia hivyo. Siwezi andika sana hiii barua mkono auna nguvu tena. Kwa heri mganga ushanifanyia makosa kuuwa wazazi wangu ili niwe na msamaha na wewe naomba unisaidie swala la HASSANI""Barua iliishia hapo na mganga alianguka chini kutoka juu ya kiti alicho kalia.
Upande wa asma alizidi kuumuuliza kijana alie muona siku hiyo.
Ujue asma mimi ni mgeni lakini kufika tu nimesikia habali zako.
Hee habali gani na umejuaje kama mimi ni asma.
Niluhusu nikae basi kwanza.
Aya kalibu kukaa.
Asante kwanza mimi naitwa maliki ni mkazi wa daresalam nna likizo ya mwezi nimekuja kukaa huku kijijini ila nimefika kijiji kizima ni habali yako na hassani.
Sasa nikajiuliza kitu kama hassani yuko maabusu na wewe una tengwa ni vipi utakua mpweke bila ya kua na rafiki kama mbwa mimi.
Mh maliki usijiite mbwa wewe ni binaadamu na pia kalibu kua rafiki yangu ili unitoe stres.
Usijali na ahsante mimi nntawashanga za jamiii nnzima hiii juu ya kukutenga kisa kosa la mpenzi wako ambalo naamini akufanya.
Kwanini unaamini ajafanya hilo sasa maliki.
Nimesikia story zake na nna amini awezi ingawa atujui uwenda kafanya kweli.
Mganga aliinuka nakuanza kuingiwa na huruma uku akiangalia mwili wa marehemu uliokua mbere yake ndipo akaona kikaratasi chengine mkononi mwake marehemu.
Alikitoa nakukisoma kimeandwika Tafuta memory chumbani mwangu HASSANI.
ITAENDEREA