Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SAFARI YA KUZIMU SEHEMU YA KUMI NA TANO (15)

SAFARI
SEHEMU YA 15
whatsApp 0655585220
:alibaki akimtizama sana binti BERALITA, akimtafakari binti huyu maana siyo wa kumchezea, asa kwa kile kichapo alichopatia ,hato kaa na kumsahau binti huyo, alipokuwa akimtizama alimpa heshima zake, kimoyo moyo huku akitupa huusika aliokuwa kauvaa juu ya binti, japo kuwa ni mdogo kuliko kwakw, lakini kwake ilionekana tofauti sana, na kuwa kinyume chake, safari ilizidi kusonga mbele, binti BERALITA alianza kujiliwaza kwa kuimba wimbo ambao hata kijana MWAIPAMBA alipousikia tu alivutiwa nao, lakini cha kushangaza hakuweza kumsogelea zaidi, sababu alitokea kumuogopa sana binti huyo, kwa kipigo ambacho hato sahau miaka nenda rudi, basi alicho amua ni kusaidia kuimba wimboule sambamba na mrembo BERALITA, MWAIPAMBA alizidi kuimba kwa sauti ya chini huku akimfatisha binti BERALITA. YOROBI alizidi kuwa amuru vijakazi wake wafanye haraka kwani safari ilionekana ya kutumia muda mrefu sana, huku giza nalo lilitanda, nakusaidia zile taa wanazoziona mbele yao wazione vizuri, huku kila mmoja wao akiwa na hofu juu ya kulala ndani ya maji, huku wakijionea visa na mikasa inayotokea, walianza kupata matumaini ya kufika mapema sana kwenye kijiji chao, na ndipo YOROBI alichukua kifa chake cha kutazamiambali, ambacho kina uwezo wa kuona kilomita ata 20, kwenye maji, na kujua wamefikia wapi, wahenga wanakiita jicho la jini, basi nae alifanya hivyo hivyo, alipoweka tu jicho lake kwenye kionw mbali, akaona kitu ambacho kilimshangaza sana, hakuamini alicho kiona kwa wakati huo, akapachika tena ilikujilidhisha, ndipo alipoona vizuri tena kwa mara ya pili, taa zikimulika kwakung'aa sana. Ndipo alipo wageukia wenzake nakuanza kuangua kicheko, huku akiwachanganya vijakazi wake, na vijana hao walimuuliza "vipi kiongozi kulikoni? mbona unacheka mwenyewe?, tujuze nasi tucheke pamoja na wewe" nae alijibu kwa kujiamini na kusema "haaaaah nimeona kitu ambacho hata nikiwaambia, mtafurahi sana, kwakifupi lisaa limoja mbele tuna weza tukawa tumefika" kauli hiyo ilifwatiwa na shangwe na Vicheko, vilitawara mahari pote, huku sasa ule wimbo wa BERALITA, ulikuwa ukiimbwa na karbia nusu ya jahazi, safari ilizidi kuendelea nawakazidi kusogea, dakika chache baadae, walianza kuona vizuri kabisa bila kutumia kifaa cha jicho la jini, walifanya sherehe, huku wakisahau yaliopita kuwa bahari hiyo ilikuwa ya mahajabu sana, basi walizidi kuongeza kasi ya kukifata kijiji au mji huo maana ulionekana ni kama mji wakisasa, matazamio yao ni kufika haraka, kwani safari iliwachosha huku chakula nacho ni chashida, walishindia mkate mdogo kutwa nzima, binti BERALITA waki wote, akiyashuhudia, hayo nae alitoa tabasamu, ambalo lilimchanganya akili kijana YOROBI, huku kijana huyo alijionesha yuko bize na shangwe za vijana hao. muda ulizidi kuhesabiwa na kijana YOROBI, huku mkadilio wake ni kufika yalikuwa ni kutumia saa limoja au moja na nusu, huku akijitamba kuwa ataonekana shujaaa pindi washukapo ndani ya JAHAZI hiyo. wakati bado watu wana shangilia huku wakiona kile kijiji au mji wanasogelea kwakasi, lakini YOROBI gunguwa jambo lakushangaza juu ya mji ule, kwanza kabisa..... haya sasa husicheze mbali rudi tena baadae ujuwe kama kweli wanakaribia au ni mauza uza,

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.