SAFARI
SEHEMU YA 17
whatsApp 0655585220
kumbe binti BERALITA hakuwa na mawazo hayo, aliyokuwa akiwaza kijana MWAIPAMBA, yeye alikuwa kawaida tu, yale ya
nyuma alikuwa ameyasahau, basi nae alipomuona tu kijana MWAIPAMBA Alipomwona tu wala hakujawa na hasira nae aliona ni jambo
la lakupiata tu, baada ya mda kidogo walimaliza kuimba, na kuanza kupiga story na kusahau yale yaliopita. kijana MWAIPAMBA
alizidi "mmh samahani dada, BERALITA, nyimbo uimbazo, zinagusa hisia zangu, maana nyimbo hiyo nimeimbiwa sana na mpenzi
wangu, kipindi cha nyuma, kabla sijaletwa huku," binti BERALITA aliimba kidogo ile nyimbo, akimwambia kijana MWAIPAMBA kisha
akamwambia "karibu wala uiogope kwani namimi hii nyimbo, huwa naipenda sana kuimba, pindi nikiwa sina kitu cha kufanya".
ndipo kijana akakaribia huku woga ukimwisha, wkati wakiongea hayo walikuwa waki zidi kukaribia ule mji, lakini kunakitu
tofauti alikiona BERALITA, akamwambia kijana MWAIPAMBA, "tumeuzwa mala yapili"MWAIPAMB
A alimwangalia BERALITA, akimshangaa
kwamaneno yake, lakini alimwona binti huyo akiwa amekaza macho yake kule wanako elekea, naye akatazama mbele, "kweli
tumeuzwa tena" maana walishuhudia tofauti na kwao ambapo bandari yao haina majengo marefu yanayo waka taa, kama haya, wakati
kijana huyu akipiga mahesabu ya kujirusha kwenye maji ikiweze kana awakimbie wakina YOROBI, wakati anataka kumwambia
BERALITA, mpangowake huo, aone kama ataukubari, maana aliuona uwezo wake wakucheza na maji, ghafla wakashuhudia zile
taambele yao, zikizima ghafla, wote wakapigwa na butwaa, kimya kikatanda kama dakika moja hivi, huku wakiona mawimbi
yakianza kuwa makubwa kidogo, hapo minog'ono yachini chini ikaanza, kila mtu akiongea lakwake, wengi wakisema wale ni
walinzi wa mwambao, wamezima taa kwaajili ya usalama wa mji hule, kwamaana walitaka kuwa tambua kama ni watu wao au maadui,
wakati kiza kime tawala, mawimbi yakaongezeka kila dakika, wakati kiza kime tawala, mala taa zika waka nakuzima tena,
lakini kila mmoja alione kilicho kuwa mbele yao, ambacho muda wote walizania kuwa ni mji, kila mmoja alipigwa na butwaa
wakamtazama YOROBI, kwamacho yakuomba msaada, ...... unajuwa nini kiliwapata hawa jamaa, ebu tuonane kesho ilinikujuze sifa
tabia na uwezo, wa kitu walicho kiona, pia tuone ilikuwaje, chakufanya nijulishe kama umeshaisoma, kisha kesho mapema sana
kitu hewani, hapa hapa kwa mkali wako Ahmad Mdowe