Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SIMULIZI MFALME GILBERT SEHEMU YA 01

  • SEHEMU YA 1
Utangulizi: hadithi hii ya picha ni yawakubwa tu kama kunamtu ambaye hataopendezewa na picha za hadithi hii, tafanzali nijulishe mapema kuliko kufanya chochote kitacholeta husumbufu kwa wasomaji wengin,
Edgar - Ilikuwa ni jioni flani iliyotulia sana nikiwa natokea kwenye jumba la kifalme kuonana na MFALME GILBERT
 na kumpa taharifa zote kuhusiana na vita iliyotokea kwenye nchi jirani ambayo mimi Edgar nilitumwa kwenda kusaidiana na nchi hiyo kwenye mapambano kwa kuwa ilikuwa imevamiwa, basi hapo ndipo ilipotumika sera ya ujirani mwema, basi nilisomba jeshi kubwa sana kwenda kupambana, hatima yake tulifanikiwa kulisambaratisha jeshi lote la waasi wa nchi hiyo ya jirani, nasi kurudi nchini kwetu kama ilivyohada, baada ya kurudi na kukutana na mfalme basi cheo changu kilipanda na kukabidhiwa meli kubwa ya ulinzi na ya kisasa zaidi, lilikuwa jambo la furaha sana moyoni mwangu, pia nilijua endapo nitalifikisha kwa mke wangu atalipokea kwa furaha tele, nikiwa njiani naelekea nyumba niliona duka kubwa liuzalo mapambo ya wanawake, basi nami nikaingia kumfanyia mke wangu shoping kidogo kwa kuwa nilitoka vitani basi nisingeweza rudi mikono mitupu. Nilipomaliza kununua nilitoka na kushika njia ya kuelekea nyumbani, mwili ukiwa umenyong’onyea sana kwauchovu, lakini nilikuwa natamani kitumbuwa chamkewangu nilicho kikosa kwamuda mrefu, huku nikiwa na furaha ya hatari kwa kuwa moja ya ndoto zangu ilikuwa imetimia, kwa kuwa mwanajeshi mwenye nyazifa kubwa serikalini nako lilitimia sasa, nikawa napanga mipango ya maisha mapya ya melini nikiwa ndiye mkuu wa majeshi ya majini, yaani nisikudanganya hata nyumbani kwangu nilikuona mbali, japokuwa nilikuwa natembea haraka haraka ili nimuwai kipenzi change, nilipofika tu! kuna nilishtuka sana baada ya kuonana itaendelea ........ (Ndo kwaaanza inaaanza) Ita kuwaje? ili niendelee anza ku like na ku comment......?

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.