Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MFALME GILBERT SEHEMU YA 04

  • SEHEMU YA 4
Kuona mkewe akija kwa kasi huku akimsimamisha kutaka kuongea naye, ila Edgar wala hakusimama alitokomea zake gizani huku akiwa na mizigo yake, tena akiwa na hasira za kufa mtu, kwa cheo alicho nacho angeweza fanya lolote, lakini hakutaka kujichafulia zaidi ila alikuwa na hasira za moyoni wala hakutaka kuongea chochote na mkewe, japokuwa binti yule alijitaidi kukurupuka ili kumfikia, lakini ilishindikana, na kuamua kurudi ndani kutokana na kuji funika shuka pekee, alishindwa kumfwa tazai, kabaki anajililia na machozi yakimdondoka, ila kwa upande wa Edgar alihapa kuwachukia wanawake, kuliko kitu chochote kwa kuwa maumivu yote aliyopata kwa muda huo, yalisababishwa na mwanamke, hapo aliwatoa maana wanawake wote, kama ulivyo msemo ule wa "samaki mmoja akioza, basi wote watakuwa wameoza" basi akiwa barabarani anatembea taratibu mwili wake, ulianzakumwisha nguvu, ni kila pale alipokuwa akiwaza, jinsi mkewe alivyomtenda, basi ule uimara wote wa kijeshi ulikuwa kwishiney, (hakuna kitu) kweli shikamoo mapenzi yani jemedari ana lilia mapenzi, Edgar alikuwa anawaza mengi sana, hasa akifikiria ni jinsi gani alivyo angaika kumpata, alafu leo hii pimbi mmpja anamega kisela, kichwa ndo kikazidi kuuma, pia akakumbuka zamani, kipindi hicho msichana huyo akisoma shule iliyokuwa karibu na kambini kwao, ilipasa kila siku asubui Edgar akae dirashani kwake, ampige chabo, mpaka msichana huyo atakapo pita ndipo naye aanza ratiba zake kambini pasipo kujari kama amechelewa au vipi, hapo basi Edgar akaanza kujicheka moyoni, na kujiona alikuwa mpumbavu sana kipindi kile, sio kwamba alicheka kwa raha, bali machungu aliyonayo moyoni, kila akikumbuka moyo ulikuwa unamlipuka pa! kwa kuwa yashatokea basi akaamua kukubariana na matokeo, akachapa mwendo akinyosha moja kwa moja mpaka kwenye meli, aliyokabidhiwa, na kujisemea, huko ndiko yatakapokuwa maisha yake, kwa sasa na hatothubutu kupenda tena kwenye maisha yake, akiwa anawaza hayo huku anatembea mara    (5 coming soon comment zenu ndo zitafanya tuendelee na tukiimaliza hiii tutaanza hiyo mpya ya mama mwenye nyumba)

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.