Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MAPISHI YA KUPIKA CHIPS NA MAYAI YA KUCHEMSHA.

Estimated read time: 0 min
CHIPS NA MAYAI YA KUCHEMSHA.

MAHITAJI YA KUPIKA CHIPS NA MAYAI YA KUCHEMSHA.

  • Viazi 4
  • Mayai 3 yaliyochemshwa
  • Mafuta kiasi
  • Karroti 1
  • Hoho upande
  • Ganda la nyanya 1 

JINSI YA KUPIKA CHIPS NA MAYAI YA KUCHEMSHA.

Nimesafisha viazi vyangu nikapasua mara nne duara  nikatumia mashine ya karroti kukata shepu za chips zangu,nikateleka karai jikoni nikakaanga zilipokauka nikatoa nikaaza kupamba,nikatumia ganda la nyanya kutengeneza uwa la wardi ndani nikaweka chumvi,karibuni.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.