Hakika dada huyo nazani anaitendea haki ile amri inayosema tupendane, ama ameielewa vibaya mimi sijui. Lakini anavyodai yeye kuwa kumkataa mwanaume kimapenzi ni kitu kigumu sana kwake kwakuwa yeye sio mchoyo kabisa... Tazama video then uniambie kwenye comment mtazamo wako je! Unaona ni sawa kabisa anachofanya?