Notification texts go here Contact Us Buy Now!

MAPISHI YA PINEAPPLE SALSA/ CHACHANDU YA NANASI

   
PINEAPPLE SALSA/ CHACHANDU YA NANASI

MAHITAJI YA KUPIKA PINEAPPLE SALSA/ CHACHANDU YA NANASI :

  • Nanasi ilokatwa vipande kikombe 1 
  • Hoho zilokatwa vipande kikombe 1 (mchanganyiko wa hoho nyekundu, manjano, chungwa na kijani) 
  • Nyanya zilokatwa kikombe 1 
  • Kotmiri ilokatwa ⅓ kikombe 
  • Kitunguu maji kilichokatwa ¼ kikombe 
  • Ndimu 2 
  • Chumvi na pilipili manga Ukipenda 

  • pilipili 1 ilotolewa kokwa na kukatwa vipande vidogo 

 JINSI YA KUPIKA PINEAPPLE SALSA/ CHACHANDU YA NANASI :  


  1. Kata nanasi ⅓ kwa chini mkonge wa nanasi uwe umeungana na pande la juu la nanasi  
  2. Tengeneza likae umbo la bakuli tumia kijiko kutoa nyama ya nanasi ilokuepo na maji yote ya nanasi hakikisha lipo kavu 
  3. Kata nanasi vipande kupata kikombe 1 na linalobakia tumia kwa matumizi mengine 
  4. Kwenye bakuli la kiasi changanya vipande vya nanasi, nyanya, hoho, kitunguu maji, kotmiri, maji ya ndimu, chumvi na pilipili manga. 
  5. Hamishia kwenye bakuli la nanasi ulotengeneza na weka katika fridge. 
  6. Baada ya muda toa na tayari kuliwa... kama huwezi kuweka katika nanasi unaweza kuweka chachandu katika bakuli kama kawaida.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.