JINSI YA KUTENGENEZA VIUNGO VYA CHAI MAHITAJI;
🔸Vijiti vya Mdalasini 1/2 kikombe 🔸Karafuu kijiko 1 cha chai
🔸Hiliki robo kikombe
🔸Tangawizi kavu 3 au ya unga
JINSI YA KUANDAA
1.Changanya viungo vyote uvisage vzr ktk blenda au kama huna blender vitwange viwe unga
2.Tia ktk kopo kavu kisha funga vzr uhifadhi kwa matumizi ya baadae vikihifadhiwa vizuri vyaweza kukaa muda mrefu.Utakua unatumia kidogo kidogo kulingana na mahitaji yako.