Notification texts go here Contact Us Buy Now!

UTAMU WA MAMDOGO SEHEMU YA 03

Mtunzi: Geofrey Mustafa, Artist Jafa.
Mahali: Ubungo Riverside, DSM
WhatsApp: 0713024247.
Instagram: @Jafa Love Story.

  Umri___+
        
"KISA NA MAJINA SIO KWELI NI STORY TU"

                  *(SEHEMU YA 03)*

*ILIPOISHIA==>*
Basi wote wakacheka pale ndani ila Mamdogo yeye alitabasmu tu kidogo, basi Baba akaniambia;
"Usiache mbachao kwa msara upitao, wewe Mwenyewe umesoma huko primary mpaka umefaulu vizuri nakufika hapa."
"Baba bidii na juhudi zangu zakujisomea Ndio zilisaidia Kama ni walimu mbona wenzangu walifeli wengi sana..!!"
Nikamjibu Baba huku nikiwa na furaha, Muda uo huo Bamdogo akasema kuwa ni saa  tatu na dakika 48 inamaana ni saa NNE kasoro. Basi ikabidi tuanze kusogea Tazara ili bamdogo akasimamie Samaki wake wanapopakiwa ndani ya Lageji....Ile tunafika tu Tazara kuli mmoja akagonga kengere kuashilia Trein ndio imetoka Mgeta tayari kwaiyo kila mmoja akaye tayari waliombali wasogee sogee......!!


                  ____ENDELEA NAYO____
Tulisimama jilani na Local ambayo ni kichwa cha Trein maana ndio kuna mabehewa yanayobeba mizigo au Large Cage yapo mawili tu maana hii ni Trein ya abiria sio ya mizigo. Basi ilisimama na makuli wakaanza kupakia mizigo mingine mingine tu, nikamuuliza Bamdogo kwanini mizigo yatu ya Samaki haipakiwi.. Bamdogo akasema kuwa wanatanguliza ndizi kwanza kisha Ndio waweke ndizi, sababu wakitanguliza Samaki alafu ndizi zikae juu Samaki watavunjika vunjika sana jambo ambalo ni hasara kwangu. Basi walipomaliza ndipo wakapakia na Samaki za Bamdogo ile wanamaliza tu Trein ikapiga Horn ya kwanza, kisha ya pili muda uo Bamdogo alikuwa kashikana na Mamdogo wakiagana agana, ilipopigwa Horn ya tatu Trein ikaanza kuondoka.. Ndipo nikamuona Bamdogo akimpa mkono Baba akadandia Trein nakuanza kuondoka taratibu maana Ordinary sio kama Express yenyewe ikipiga Horn Mara tatu inaondoka speed ya 4G kama umechelewa utajua mwenyewe. Ila Ordinary ipo taratibu sana. Trein iliondoka zake na sisi tukarudi zetu nyumbani Mimi nilimpakia Mamdogo na Baba alimpakia Mama kwenye baiskel maana Ndio ulikuwa usafiri mkubwa hapa Mbingu.

Maisha yaliendelea Kama kawaida Mimi niliendelea kwenda zangu shule huku nikiwa sina habari na Mamdogo, basi Mdogo wangu Sauda aliyekuwa anakaa na Mamdogo alipata homa ikabidi arudi nyumbani kujisikilizia tukampeleka zahanati alikuwa na maralia sikuona ajabu maana sio kwa mbu izi za hapa Mbingu daah! yani ukikaa bila kupakaa mafuta ya Mosquito Oil utajuta maana mbu ni wengi balaa yani...!!
Basi ikawa ndio ivyo Mamdogo alibaki peke yake tu kwenye iyo Nyumba ivyo akawa anatumia muda mwingi kuja nyumbani kushinda na Mama anakaa mpaka mida ya jioni jioni kisha taratibu Mama anamsindikiza mpaka nyumbani kwake maana hakuwa anaishi mbali sana toka kwetu.

Zilipita wiki mbili Bamdogo alikuwa bado kurudi toka Tabora, alipopigiwa Simu alisema bado tena mbili za Samaki ili awe amemaliza kabisa mzigo wote. Ata ivyo wiki mbili izo ziliisha tukawa tunakaribia kifika wiki nne ambayo ndio mwezi kabisa, atimaye tukamaliza mwezi kabisa... Awamu hii Bamdogo mwenyewe akapiga Simu kuwa kapata hoda ya liters 200, za Asali ambazo inabidi azipeleke huko mwanza visiwa vya ukerewe kwaiyo kaingia porini kukagua mizinga yake Kama ipo tayari abague asali yake aone itafika Liter ngapi, kisha ndio aongezee na yakununua kwa watu.

Basi atimaye ukaisha mwezi mmoja na wiki tatu alafu Bamdogo alikuwa bado yupo Urambo anakusanya mzigo wa asali mpaka ufike liter 200, ndio aupeleke huko Ukerewe. Baada ya miezi miwili na siku kadhaa ivi nilipata taarifa kuwa Bamdogo tayari kaelekea Ukerewe kupeleka asali kwakuwa Mimi nilikuwa busy na mtihani nilikuwa nipo busy sana kwakweli naweza kurudi nyumbani nikamsikia Mama akiongea na Mdogo wake ambaye ni Mamdogo Sakina lakini nawasalimia tu juu juu 'Shikamooni' kisha naenda zangu chumbani, na baada ya dakika kadhaa Mdogo wangu wakike sauda ananiletea Chakula huko huko chumbani kwangu. Chakula kinakuja kikiwa chamoto lakini mpaka muda wakula ufike kinakuwa kimesha poa utadhani cha jana vile. Sikujali maana sikihitaji kushiba kabisa kipindi hiki, mawazo yangu yote yalikuwa kwenye mtihani tu na sio kitu kingine maana nikifanya makosa Baba hawezi kuniacha salama kabisa.

Basi mpaka nikamaliza mitihani yangu ya Form four na hapo nikawa huru nikabaki kusubiri tu majibu ya Form Five, kibaya zaidi iyo Mission ilikuwa bado kuwa na Advance yenyewe ilikuwa ni  O- level tu swala ambalo lilikuwa linaniumiza sana kichwa.. Sababu wahitimu wa shule za Private hasa izi za Mission huwa tunaonewa sana maana wanaonaga Kama ni watu wazima ambao tunafanya Kama Ku resit kumbe wangine sisi ni bidii zetu tu.
Basi ilipita mpaka miezi mitatu Bamdogo alikuwa bado kurudi toka kwenye biashara zake  alikuwa bado yupo mwanza anasubiri Samaki Sangara, Sato, na dagaa maana wale kambare aliowachukua hapa Mbingu kasema walichelewa sana kuisha watu wengi walikuwa wanataka Sato, Sangara na Kitoga. Maisha yaliendelea Kama kawaida kabisa... Baba yangu Mzazi naye alisafiri kwenda Makongorosi kikazi maana Baba alikuwa anajishugulisha na maswala ya uganga wa kienyeji kwa kule Tabora alikuwa ni maarufu karibu wilaya yote ya Urambo ila alipofika hapa Mbingu ikabidi awe Mpole maana aliwakuta wenyeji  ivyo sio vizuri kujionyesha onyesha kabla yakuwa mwenyeji, lakini Baba yupo vizuri sana kwenye kazi iyo ya uganga.

Basi sikumoja Mamdogo alikuja nyumbani muda wa mchana na kwa bahati mbaya Ndio ivyo Baba hakuwepo na Mama yangu naye alikuwa bado kurudi toka shambani huko Miomboni, ivyo akanikuta nipo mwenyewe tu yani nimebaki peke yangu. Nilimkaribisha vizuri kabisa na kwa heshima akaingia mpaka ndani, nikampa heshima yake kwa kumsalimia Shikamoo Mamdogo naye akaitikia Marhaba.
Basi alikaa kwenye sofa nakuendelea kupiga piga story huku tukiwa tunaangalia Movie maana alinikuta naangalia huku nikiwa nimejilaza kwenye sofa kubwa la watu watatu alafu nilikuwa nimevaa bukta tu na Vest si unajua nimepigika sana kipindi cha mitihani.

 Sasa wakati tunaendelea kuangalia ile movie ya Jean Claud Vandame inaitwa Hard Target, Kama unaijua basi unajua mambo ya mle wakati Vandame akiwa kule porini. Basi tukiwa busy kupiga story za kuhusu Mimi shule mala kijana kipande kibaya cha porn yani Dame alikuwa akifanya Romance amazing kwenye korido ya Nyumba...!!

Tukutane tena sehemu ijayo....


                 ___ITAENDELEA___

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.