Notification texts go here Contact Us Buy Now!

AJIRA - DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POS

AJIRA - DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POS


DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST

Employer: MDAs & LGAs
Date Published: 2019-03-21
Application Deadline: 2019-04-03


JOB SUMMARY:


N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES:


  1. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
  2. Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
  3. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,
  4. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
  5. Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,
  6. Kufanya usafi wa gari, na
  7. Kufanya kazi nyingine kadri anavyoelekeza na Msimamizi wake.


QUALIFICATION AND EXPERIENCE:



  1. Kuajiriwa kwenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka bila kusababisha ajali.
  2. Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
  3. Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.




REMUNERATION: Salary Scale TGS B

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.