Jaman hbr zenu wapenz mm nnaitaji ushaur wenu " jaman mm nnaish kwenye ndoa nna mwaka namiez mitatu nimeish nae muda wote kwa mackilizano namaelewano vrz tu ila cku iz amebadilika mno jaman yan mm nayy niwakulala tu nakuamka nae ila hanitimizii haki zang za ndoa najua nikisema ivo munaelewa licha yahayo hata nikimwambia shda zang zakawaida ananizarau kupindukia shda yang yyte hanickiliz ila yy tu shda zake tu akitaka apo apo atekelezewe hii kweli jmn n haki hemu nisaidien mana mpaka nafkiria kuchit nje yandoa mana mda imefka mda akitaka haki yake hana mda wakunitomass yani yy akiningilia naumia mana yale mandarin hayapo ckufichin hata mapenz nae kwass cna kwa7bu naambulia maumivu tu tena akesha kojoa tu yy hata hajal umerizka au laa tena nimaramoja tu harudii hata umwambie nn naomba ushaur wenu.