Notification texts go here Contact Us Buy Now!

Wanawake na wanaume nani katuloga?

Wanawake na wanaume nan katuloga wapendwa mbona wengi wetu huwa hatuongei ukweli kwenye suara la mahusiano

Nilibahati kumpenda Dada mmoja alikuwa tayari amezalishwa lakin nilikubali kumpokea pamoja na huyo mtoto maana hakuna kitu ktk maisha kinaniuma nimnyanyase mtoto au nishindwe kumlea kwan Mimi Nina uhakika nan atakuja kuwalea wanawangu nikiwa nimetangulia mbele za haki kweli nilidumu na huyo mwanamke kwa kipind kifupi sana

Siku moja niligundua bado anamawasiliano na mmoja ya wanaume aliozaa nao pili ana mtoto zaid ya mmoja moja Mimi nilikuwa kama ATM ya kutolea pesa akiwa na shida kwangu ndio kuja kuomba msaada

Sasa mwenzenu tangu hapo nimekuwa na tabia moja hapo ndio wanawake wengi naachana nao Moja kwa moja najua mungu atanipa ambaye atakuwa mdhaifu mwenzangu mwanamke akiniomba hela kubwa mahusiano huwa yanakatika hapo hapo

Moyo wangu ulipenda ukajeruhiwa pakubwa unajua tuwe wakweli

Wanaume na wanawake kuwen wakweli maisha ya kuchanganya wanaume au wanawake yalishapita kumbuken kuna HIV jaman

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.