Notification texts go here Contact Us Buy Now!

LIFAHAMU TATIZO LA USUGU WA DAWA (Antimicrobial resistance)

USUGU WA DAWA (ANTIMICROBIAL RESISTANCE) NI NINI?

Antimicrobial resistance
Hii ni hali ya  dawa kushindwa kuua/kutibu vimelea vya magonjwa iliyokusudiwa kuua pindi dawa hiyo inapotumiwa kutibu ugonjwa husika.

USUGU WA DAWA UNASABABISHWA NA NINI?

Kushindwa kwa dawa kutibu ugonjwa/ kuua vimelea vya magonjwa utokana na matumizi  ya dawa yasiyo sahihi ambayo upelekea vijimelea vya magonjwa kujiwekea kinga ya kuuliwa na dawa.

YAFUATAYO NI MATUMIZI YA DAWA YASIYO SAHIHI

  • Kutomaliza dozi ya dawa uliyopewa kutibu ugonjwa husika (Hii inajumuhisha pia kuacha kutumia dawa mara tu unapohisi nafuu)
  • Kutumia dawa bila ya kufanya vipimo ili kujua unasumbuliwa na ugonjwa gani ili utumie dawa sahihi
  • Kutokufuata maelekezo ya jinsi ya kutumia dawa kama ulivyoelekezwa na mtaalamu wa afya
  • Kuchangiana dawa na mtu mwingine(Hii upelekea kupunguza dozi  kwa mtu aliyekuwa anatumia ile dawa pia na wewe utakuwa hujatumia dozi kamili
  • Kutumia dawa isiyosahihi kutibu ugonjwa husika, (Mfano Kutumia dawa ya kutibu ugonjwa unaosababishwa na  Bakteria wakati unaumwa ugonjwa unaosababishwa na Virusi)
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu 

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.