Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HATARI UNAYOWEZA KUIPATA UNAPOSHITUKA USINGIZINI

DONDOO MUHIMU KWA AFYA YAKO UNAPOSTUKA USIKU


¤Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha.

¤Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika.Kwa sababu kuamka ghafla,kunakuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.

¤USHAURI:tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:

1.Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.
2.Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika
3.Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.
¤Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi hivyo inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.


Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.