USAFI WA MAKALIO
*DARASA LA MAHUSIANO*
Hakikisha unasafisha makalio yako na maji mengi na sabuni
usafi wa makalio sio kwenye hivyo vipele vya mwisho wa makalio na ukavu tu bali kuna vile vinywele hujiotea kwenye mstari wa “ikweta” kuelekea au kuzunguuka sehemu ya HAJA KUBWA
wengi ambao hawashukiwi chumvini au hawabong’oi hawafanyi staily ya mbuzi kagoma nasikia huwa hawajali ama hawajui kabisa kuwa wana nywele huko KWAHALAau wengine wanajuwa lakini wanavipotezea…
…oooohoo.. SHOGAMwanamke, hata kama hupendi binuka harufu itasikika, huenda wewe huisikii kwa vile umezoea SHOGA lakini MUME wako atavuta harufu hiyo yenye utata (mchanganyiko wa UCHAFU FULANIhivyo hakikisha SHOGAANGU IZO nywele zinaondolewa kila zinapojitokeza hata kama wewe ni mtu wa kifo cha memde tu mpenzi lakin vitowe ma VYAMKERA MUMEO
MAHITAJI ❣unga wa liwa (robo kikombe)
❣machicha ya nazi(nusu kikombe)
❣mafuta ya olive oil nusu kikombe (kile cha robo) ❣
rose water vijiko viwili
❣chumvi vijiko viwili
NJIA ❣changanya unga wa liwa na chumvi na machicha ya nazi ❣weka mafuta yako changanya ,ongeza rosewater hakikisha vinajichanganya vizur
❣baada ya hapo nenda ukaoge ❣
ukitoka bafuni chukua mchanganyiko wako anza kujisugua kuanzia kwenye mapaja hadi kwenye makalio yako
❣jisugue had uridhike kuwa kweli umejisugua kisha kaa kwa nusu saa kisha nenda ukaoge safari hii usioge kwa sabuni na dodoki oga kwa maji tu ❣
ukitoka kuoga pakaa mafuta unayotumia mwilini
.usiache makalio yakiwa makavu ❣fanya hivi mara moja kwa siku,baada ya wiki utajipenda mama Mwanamke usafi shoga yangu so uso unangara masha Allah lakin makalio shoga yanasuguru. Haipendezi.
*