Notification texts go here Contact Us Buy Now!
Machapisho

MAMBO TISA (9) YANAYOSABABISHA BAADHI YA MAKUNDI YA WHATSAPP KUFA

Inasemekana

*MAMBO yanayosababisha baadhi ya makundi ya whasapp kufa. (Inaweza ikawauma wengine lakini ndio ukweli)*


*1. Mtu anaweza akatoa mada na hakuna mtu akachangia na wakati huo huo mtu mwingine akatoa wazo watu wakachangia faster. Je kuna watu wana umuhimu kuliko watu wengine?*



*2. Kutokujibu salamu hasa hasa pale aliyetoa siyo rafiki yako. ....ubaguzi!*



*3. Baadhi ya watu katika kundi hujifanya ni zaidi ya wengine hata kudharau  wengine.*


*4. Baadhi ya watu katika kundi ni viburi na wajivuni...wapo katika kundi lakini hawachangii wala kuunga mkono  na wakati wao wakisema jambo, wanataka wengine wote kukubaliana na maoni yao.*


*5. Baadhi ya watu hawachangii jambo lolote la msingi isipokuwa vichekesho na vituko tu!*


*6. Baadhi ya watu hawajui jinsi ya kuzungumza*


*7. Baadhi ya watu wanapapara*


8.Wengine hawachangii chochote ila kazi yao ni kuja na mitazamo hasi tu.


*9. Baadhi ya wanachama wapo wapo tu yaani kama wasimamia au kutazama mechi ya mpira wa miguu.*


About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.