FAHAMU KUHUSU AFYA YA NGUVU ZA KIUME
Hii ni moja kati ya changamoto kubwa ilioko kwa wanandoa walio wengi,tena inapotokea kwenye familia kuna kasoro hii moja kwa moja mwanaume ndio anaonekana anae vunja ndoa,lakini pia kwa mwanaume ina muharibu sana kisaikolojia kwasababu hajui chanzo hasa nini ni na pengine amekwisha tumia dawa na mizizi yote lakini bado tatizo liko pale pale.
Iko hivi ukiona mwili wako kama mwanaume katika eneo hili la nguvu za kiume na sababu huzielewi unajikuta tu una huu udhaifu kama
1.kutoa mbegu kwa haraka sana na kupoteza hamu ya tendo la ndoa kabisa(kuwai kufika kileleni)
2.Uume kushindwa kusimika au kusimika dhaifu
3.Kutoa mbegu kabla hata ya tendo.
4.Kutokutoka kabisa kwa mbegu wakati wa tendo
Hii ni maana yake ule ubora wa mwanaume unapotea nasi tu kupotea lakini pia heshima ya mwanaume inaondoka na kibaya zaidi mke anaweza kudhani labda unamahusiano mengine nje ya ndoa au tofauti na yeye,sasa wengi wameonekana kulipuuzia hili labda kwa sababu halina maumivu kimwili kwani walio wengi matatizo ya kiafya kwao ni kuwa na maumivu mwilini sasa ukiona wewe ni mwanaume wa namna hii basi kama ni gari huwasha taa nyekundu kwaajili ya tahadhari
Viko visababishi vya matatizo haya ya nguvu za kiume kama,kujichua kwa muda mrefu kwa vijana,lakini pia maradhi kama kisukari,pressure pamoja na madonda ya tumbo.Lakini inawezekana kabisa hivi vyote tajwa hapo juu wewe huna lakini ile heshima ya mwanaume inazidi kushuka hii inamaana kwamba SUMU pamoja na upungufu wa lishe sahihi kwa mwili wako ndio maana hali hiyo hakuna ambacho hutokea kwa afya yako kama changamoto isiwe na sababu shida ni kwamba watu wengi afya huichukulia juu juu na kutokutilia maanani.
Tena hakuna watu hujiona kuwa wana afya kumbe ndio wako na hatari nyingi sana kiafya kama watu wenye UZITO MKUBWA pamoja VITAMBI hapa si wake wala mwanaume na hawa wote wamekua wakiona maisha ndivyo yalivyo bila kujua athari iliopo mbele yao.
Nahii ndio hali halisi kwa walio wengi.Kwa bahati mbaya sana wengi wao hufikiri labda hii ni afya lakini hapa ndio kutanuka kwa tezi dume,kushindwa kumudu tendo la ndoa siivyo tu matatizo kama pressure ,sukari,na magonjwa ya moyo huanzia hapa.na hizi zote ni matokeo ya sumu kuzidi mwilini na mwili kukosa lishe sahihi.
SULUISHO
Afya sahihi haitokani na mitishamba wala madawa makali ya kihospitali bali hutokana na ulaji mzuri,wa lishe sahIhi na virutubisho muhiimu kwaajili ya kuiboresha afya yako lakini pia kuweza kuondoa sumu kwanjia sahihi ya kiafya,