Notification texts go here Contact Us Buy Now!

TABIA 6 ZITAKAZO KUWEKA MBELE YA MUDA

TABIA 6 ZITAKAZO KUWEKA MBELE YA MUDA 👋

Longevity


1. Anza siku na Gratitude ✍️

Anza siku kwa kushukuru Mungu. Unaposhukuru unaonesha kuwa kuna hatua kubwa unapiga Na itakupa nguvu ya kupambana zaidi kwa sababu Mungu yuko upande wako.

2. Kula chakula bora.

Acha chakula cha Junk food acha kula sukari, punguza vyakula vya kukaanga, kunywa maji mengi ,punguza pombe , punguza kula kula ovyo.

Kula unaposikia njaa ty muhimu mboga za majani + matunda + protini nk

3. Kufanya Mazoezi 

Unapofanya mazoezi unaupa mwili ari na nguvu mpya, unaimarisha mwili, Unajenga na kuupa mwili mwonekano bomba,Kuupa ubongo maisha mapya na kukuepusha na magonjwa.

4. Kuishi kwa kuzingatia muda uliopo.

Depression ni zao la kuwaza mambo ya jana na kesho.Kwa bahati mbaya huwezi kubadili yaliyopita, Kwa bahati mbaya tena huwezi kubadili yajayo. Kitu cha msingi ni kujali lililo mbele yako.

Hivyo ndi.vyo akili ya mwanadamu imeumbwa

5. Kuishi kwa malengo.

Kila siiku ni siku ya kusukuma ndoto zako, Ndoto zako zinapaswa kuwa sawa kabisa na kusudi lako. Ukiishi kwa malengo unakuwa tayari umejitaambua wewe ni nani ?

Ndoto bila malengo inakuwa kuwa ndoto

6. Kumaliza kila unachoanza.

Ukitaka kukata tamaa kumbuka kwa nini ulianza, Waliofanikiwa hawakukata tamaa. Wanaofeli huwahi kukimbia Washindi ndio hufanikiwa kupata kile wanachotafuta.

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.