*mtunzi Hassani Kumbilo*
*jina la simulizi HAWA NI WANGU*
*WHATSAP 0688097663*
*SEHEMU YA NNE*
ILIPOISHIA SEHEMU YA TATU.... Hamisi baada ya kusikia jambo la ndoa alikata kata kata kuoa...
Enderea.....
Baba laiti kama ungeniambia kwamba unaniita upuuzi huu wallah wala nisinge thubutu kuja huku.
*mzee machale*..umekuwa sasa mwanangu hamisi enheee. Jambo langu ambalo naliona la umuhimu wewe unasema ni upuudhi. Ama kweri ukiwa mkubwa na hauna pessa utadhalilika sana . baba unanifanyia hivi leo.
*HAMISSI*.. Baba sio hivyo na wala siko huko mimi. Nakama unahisi nimemaanisha hivyo baba nakuomba nisamehe niko chini ya miguu yako.
Pia baba uwezi kuniambia kurupu namna hii mimi nimkubwa sasa hivi. Na ujui ni jambo gani linafanya mpaka mimi nakataa maswala ya ndoa baba.
*mzee machale.*.. Nakuambia hivi hamisi mimi ni baba ako sasa utake usitake lazima uoe . na kama ukikana hilii nnalo litaka mimi tafuta baba ako aliekuzaa. Na chengine cha mwisho ni kimoja baba hizo pessa na kikazi chako cha mjini kinachokupa jeuri. Najuwa umekipataje ni rahisi tu kwangu kubadili upepo nadhani unanijuwa vizuli.
*upande wa hawa.*
Hawa aliganda mda kidogo. Mpaka alivyo itwa kwa nguvu na shangazi yake amina.
We hawa hawaa bint yangu.
Abee shangazi. Embu ingia ndani kisha leta chanua uje nikufumue nywere kisha kuna mambo nikuambie mwanangu.
Hawa aliingia ndani kwake na jambo la kwanza hawa kulifanya ni kutafuta simu yake ili ampigie simu mpenzi wake hancy amuambie jambo ambalo linaenderea kwao.
Lakini jitiada zake ziligonga ukuta kweni simu alitazama kote juu adi chini bila mafanikio ya kuiyona.
Baada ya dakika kama kumi kupita aliingia shangazi yake ndani amina makusega.
*shangazi.*..tangia nikuambie ufate chanuo ndani mwanangu umechukua dakika taklibani kumi kulikoni.!
*hawa.* .. Hapana shangazi nimelitafuta sana chanuo sijaliona sasa mda wote huo ndo nilikua nalisaka.
*shangazi.* sio kweli mwanangu chanuo si hilo mkononi mwako . au ulikua unatafuta hii simu yako.
*hawa*.. Kweli alikua kashika chanuo na baada ya kuoneshwa simu yake alishangaa kidogo . kwamba shangazi yake amejuaje kama anatafuta simu.
*shangazi* .. Hawa mwanangu data zako zote nnazo na huna haja ya kushangaa sana. Mimi najuwa kuhusu wewe na hancy. Hivyo ulipo lala wewe sisi ndo tumeamka. Na chengine mwanangu mimi na wewe wakwanza kuliona juwa ni mimi.
Sasa kuanzia leo wewe na Hancy story na mapenzi yenu ndo tunayazika hapa. Na kwasasa juwa wewe ni mke wa mtu. Mdo wowote unaanza kukaa ndani. Simu hii utotumia tena.
*upande wa kijana hancy*
Alilejea kwao na mda ulienda sana bila kumuona mama ake. Hoffu ilimtanda juu ya mama ake . maana sio kawaida yake.
Na taratibu alianza kumuangalia mama ake huku na huku. Akiwa anamtafuta mama ake. Alishangaa kumuona mzee machale akiwa anatembea kwa speed huku akiwa ayuko sawa.
Ilibidi amfate nakumuuliza mzee kulikoni mbona kama auko sawa.
*mzee machale*... Ni kweli siko sawa na hivi unavyo niona naenda kijiweni nikiwa sijui naenda kufanya nini huko nnapoenda.
*Hancy*.. Alafu mzee kuna jambo aliko sawa mda ule nilitaka nikuambie nikuhusu mimi na mtoto wa rafiki yako madega
*mzee machale.* unamaanisha hawa mkwe wangu.?
*Hancy* waooh mzee ulijuwaje kama mimi na hawa ni mtu na mpenzi . maana sijakuambia lolote umesema ni mkweo.
*mzee machale* sio wewe bhna ni mwangu hamisi. Inshaallah hivi kalibuni ndoa itapita kati ya hawa na mwanangu hamisi. Kaka ako.
*hancy* unasemaje mzeee..
*itaenderea.........*