Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HAWA NI WANGU SEHEMU YA 03

*mtunzi Hassani Kumbilo.*
*jina la simulizi HAWA NI WANGU*
*WHATSAP 0688097663*
*sehemu ya tatu.*

Ilipoishia sehemu ya pili... Mzee machale alimuuliza rafiki yake mzee madega. Kuhusu swala la mtoto wake hamisi kumuoa hawa.

*sasa enderea...*

Mzee madega baada kusikia maneno hayo yakitoka mdomoni mwa rafiki yake. Akumjibu swali lake aliloulizwa. Bali nae alimuuuliza mzee machale. Hivi rafiki yangu unachokisema ni ukweri kabisa au unanichezeshea shere.
Hapana mzee madega mimi niko serious na swala hilo . na kwakua leo kijana wangu anakuja nikaona nikuambie kabisa.
  
      Yaaani jana usiku nililala nikiwa na mawazo mengi sana na kutokana na mawazo yale. Niliamini kabisa leo siku yangu itakuwa mbaya sana.
    Kumbe katika masiku ya furaha nilio yapitia huko nyuma wallahi si kama furaha ya leo.
     Mzeee machale alifirahika nakumuambia rafiki yake unataka kuniambia kila kitu kitakuwa sawa mzee mwenzangu.

     *hali ya furaha iliwakumba wazee hao. Kwakuona watoto wao watawafanya wawe zaidi kuwa marafiki. Mzee machale aliamini mwanae hamisi ni msikivu ndo mana hata alivyo muita akumuambia anamuitia jambo gani.?*

       *upande wa pili.*

    Hancy alimka asubuhi kisha kutandika kitanda chake na kufagia valandani kwao. Pia akusita kutupia macho mlangoni kwa mama ake ili agundue kama mama ameamka au bado Kalala. 
     Aligundua mama ake ayuko kwa kuona kwenye mlango wa mama ake kuna kufuri.
      Alifanya kazi zote zinazostahiki kwake na mwishoni alishika ndoo yake ya maji kwenda mtoni kuchukua maji yakuoga.
     Akiwa njiani alikutana na mzee machale akiwa mwenye furaha sana. Alimsimamisha nakumsalimia. 
    *Hancy*.. Shikamoo baba. 
 *mzee machale*.. Marhabaa mwanangu naona kumekucha sasa na makucha yake safari mtoni.
       *Hancy*.. Naaam baba naende kuchukua maji yakuoga ili niende kibaruani kwangu .
       *mzee machale* ... Vizuri sana mwanangu ila leo ni siku yangu ya furaha sana na nikikuambia na wewe furaha yangu lazima ufurahike tu.
       *hancy.*.. ni furaha gani baba niambie maana mimi nilitaka nije kwako . kuna mambo ayako sawa baina yangu mimi na mzee mwenzako madega. Jana usiku .
  
      Kabla Hancy ajaongea alichotaka kumuambia mzee machale . ghafla simu ya Mzee machale iliita na alipokea kisha kuuliza . *umeshafika mwanangu .*? .
      Aliondoka mbio mzee machale nakusahau kama alikua akiongea na hancy mtoto wa marehemu rafiki yake.

     *basi bhana safari ya mzee machale ilikua ni kuerekea standi kumfata mwanae maana aliambiwa kashafika katika simu. Huku Hancy akiwa anaenda zake mtoni nakujipa Matumaini kwamba usiku atamfata mzee nakumuambia yanayo msibu.*

        *mtoni*

    Ilikua ni kama bahati kwa wapendanao tu. Hawa na hancy walikutana huko. 
     Walikumbatiana kwa mda kidogo na romance kubwa kuashilia kila mmoja alikua amemmisi mwenzake.
       Hancy alimuuliza mwezi wake kuhusu jana. Baba ake akumpiga kweri.
    Lakini hawa alimueleza kila jambo ambalo alimuongopea baba ake nakujikuta wanacheka wote kwa pamoja.
       Haaaa haaaa haaaa haaaa.
  *waliongea mengi sana wawili hao. Waliaidiana mengi mazuri mazuri Na kila mmoja aliamini katika ahadi zao kwamba zitakuja kutumia haswa jambo la ndoa.*

    Basi kila mtu baadae alienda kwao na mambo yalikua tofauti sana upande wa hawa.  
     Kweni baada ya kufika tu mlangoni kwao alikuta kuna viatu vingi sana. Na alisikia sauti ya shangazi yake mkubwa . aitwae *amina makusega.*
    Shangazi yake huyo ni mkali sana na hawa anamuongopa mnoo kuliko hata baba ake.
     Alivyo ingia tu valandani . shangazi alipa uyoe wa vigere vigere nakumuambia hawa sasa umeshakuwa mwanangu.
    Akuelewa hawa.

      *upande wa mzee machale.*

     Alikaa chini na mwanae Hamisi nakumuambia alicho muitia kijijini hapo.    
     Hamisi baada yakusikia hayo alisimama . hapo hapo nakukataa kataa kataa swala la ndoa.


      *itaendereaa....*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.