Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HAWA NI WANGU SEHEMU YA 02

*MTUNZI HASSANI KUMBILO*
*SIMULIZI HAWA NI WANGU*
*WhatsApp 0688087663*
*sehemu ya pili.*

Ilipoishia sehemu ya kwanza.... Mzeee madega alijuwa wazi mtoto wake atakuwa kwa hancy hivyo aliamua aende . na kama atamkuta basi atajuwa nini akifanye...

*sasa enderea nayo....*

Safari ya mzee madega aikumchukua hata dakika nyingi na alikuwa ameshafika sehemu husika.
Kwanza aliamua asikilize dirashani kama atasikia sauti ya mwanae . lakini jitihada hizo ziligonga ukuta. Maana kwa kipindi hiko hancy na hawa walishakuwa wamelala.
Aligonga mlango kwa nguvu. Kutokana na kasi ya odi yake ilimfanya hancy ashituke nakushuka kwenye kitanda huku akimuacha mpenzi wake amelala nakwenda kumuangalia ni nani anae bisha hodi kwa hasira.
    
     Alipofungua mlango akuamini macho yake kumuona mzee madega. Alijikaza nakumsalimia. Mzeee shikamooo kulikoni mbona usiku kama huu nyumbani Utokako kwema.?
     Sikia we mwanaharamu sina haja na shikamooo yako ya kinafki . pia kutoka asubuhi mpaka mda huu nishaamkiwa sana .
     Kilichonileta hapa nataka nijuwe mwanangu mda huu anafanya nini kwako na sinilisha kukataza maswala ya mahusiano na mwanangu.
      
      *wakati Hancy ma mzee madega wanavutana kwa maneno mama hancy aliamka chumbani kwake nakumuamsha hawa. Kisha alimuingiza ndani kwake .*

      Mzee madega aliona anapoteza mda tu hivyo aliingia kwa kufosi chumbani kwa hancy bila kubisha hodii .   
     Lakini cha ajabu akumkuta mwanae jambo ambalo hata hancy alishangaa kutokuwepo kwa hawa kitandani kwake.
    Mzee madega aliangaza huku na kule mpaka uvunguni mwa kitanda lakini holaa.  
    Alimkata jicho Hancy nakumuambia maneno mazito. *kijana unajalibu kuuwasha moto ambao huto uweza kuuzima . sasa enderea hivyo hivyo utanijuwa mimi ni nani au kwanini nimeitwa madega.*

      *mama Hancy alitoka chumbani kwake nakujifanya kama hajui kina cho enderea.*
  
      Mama aliongea. Mzee madega usiku huu nyumbani kwangu vipi tena. 
    Mzee madega alishusha jazba zake nakumuambia mama Hancy. 
     Nakueshimu sana shemeji yangu lakini huyu mwanao anaweza sababisha heshima yetu . ikapotea mala kwa mala nakuelezaga kwamba mkataze mwanao juu ya mwanagu lakini asikii sasa nntamfanyia kitu kibaya ohoo.
    Mama alitumia busara kwa kujishusha kisha alimuuliza mzee madega. 
      Kweni shemeji hawa unataka kuniambia mda huu yuko na mwanangu ama vipi.?
     Mzeee madega alishindwa ajibu nini . na alisema sina uakika sana lakini naamini kunajambo nafichwa na mwanao lakini juwa kwamba za mwizi ni arubaini.

       *waliongea mengi mwishoni mzee madega aliondoka kulejea kwake. Na mama hancy alimtoka hawa nakumkabidhi kwa Hancy nakumuomba mwanae afanye juu chini hawa awe wakwanza kufika kwao kabla ya baba ake. Hancy alimshangaa mama ake kwa alicho kifanya nakumshukuru sana.*

       *baada ya dakika kupita*

   Mzee madega alifika kwake nakumkukuta binti yake amelala mlangoni.  
     Alishika kiuno chanke nakuangaza kulia na kushoto. Kisha alianza kumuamsha kwa kumuita jina huku akiwa anampiga mpiga na mguu wake wa kulia.
     Hawa aliamka nakumsaliamia baba ake. Moja kwa moja baba alimuuliza ulikua wapi.?
    Alijibu kwa kujiamini hawa nilienda kwenye partty ya zuwena maaana leo ni birthday yake .
     Mbona ujaniambia kabla kama utaenda huko na kwanini uludi mda huu mtoto wa kike ulipata ujasiri gani kutembea usiku peke yako.
     Anhaa baba bwana si unajuwa kipindi hiki miziki aikeshi sasa mwisho ni saa sita. Nakuusu kuludi tulikuwa wengi tu baba . na mama nilimuaga mbona.

   *mzee madega aliingia mkenge wa mwanae nakuamini kwamba alikua katika parrty kweli . hivyo alitoa ufungua na kufungua geti lao na kuingia ndani.*

         *ASUBUHI NA MAPEMA*

    Odiii odiiii mzeee madega odiiii. Ilisikika sauti ya mzee machale ikimuamsha mzee madega asubuhi na mapema.
     Mzee madega aliamka nakuja kusikiliza ujio wa rafiki yake kipenzi.
     Ooooh machale kaka kalibu sana mbona leo mapema hivi kuna nini kaka.?
    Acha uoga mzee madega. Kawaida naweza kuongea na wewe japo dakika mbili tu hapo pembeni.
   
    *basii mzee madega aliingia ndani nakuvaa shati lake. Kisha kumuaga mwanae hawa kwamba anakwenda kunywa supu na rafiki yake. Alimuachia pessa ya matumizi na yeye kuondoka.*

       *KWA MAMA NNTILIE.*

    ujuwe umenishangaza sana leo kwanini hata simu ujanipigia kama utakuja kwangu asubuhi . kulikoni mzee machale. 
    Amna kaka kuna jambo nilikuasijakushilikisha na nilikua naimani kwamba utokataa. Sasa leo limetimia nikasema nikufahamishe maana mwanangu anaingia asubuhii hii.
     Jambo gani aliuliza mzee madega.
  Ni kuhusu mwanangu hamissi nimemuita ili afunge ndoa na mwanao hawa. Au jambo hili unalipokeaje.?

      *itaenderea......*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.