Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HAWA NI WANGU SEHEMU YA 01

*MTUNZI HASSANI KUMBILO.*
*jina la simulizi HAWA NI WANGU.*
*WHATSAP NAMBA 0688097663.*
*sehemu ya kwanza*

Yaaani ndugu yangu sijui kwanini mwanao kawa hivi. Na sijui kwanini umelidhia mwanao aonekane kituko katika kijiji chetu.
Mama salima shoga yangu kama kuongea sio kama siongei naongea adi mda mwengine nahisi kumkosea mungu wangu.
Maana kila nnapomsema mwanangu nahisi kama aniogopi yaani ua nasemaga maneno ambayo hata kwa mungu ayampendezi. Cha ajabu mwanangu Hancy anielewi hataaa.
Mmmh pole shoga yangu lakini wewe ni mama mzazi tu wa Hancy tumia daraja lako la umama kumsema mwanao . hata kama anamapenzi si kwa alipofikia yeye.
*yalikua ni maongezi ya marafiki wawili kati ya mama hancy na mama salima.* *mama salima alikua akimuomba rafiki yake amseme mwanae kwa mwenendo anaoenda nao. Lakini kumbe mama hancy nae alikua akimueleza sana mwanae kuhusu mambo ya mwanae.*

     Basi waliongea mengi sana mwishoni mama salima alienda nyumbani kwake nakumuacha mama Hancy kwake.
      Baaada ya mda kupita Hancy alirejea nyumbani kwao. Na kuanza maongezi na mama ake.
     Mwanangu mbona umechelewa sana kurejea nyumbani kulikoni.
    Alijibu Hancy kumjibu mama ake. mama nawe inamana ujui kama nna majukumu nyumbani na ukweni kwangu ivyo nilipitisha kuni kwa kina hawa kisha nikaja nyumbani.
      Hivi hancy mwanangu usipo nisikiliza mimi mama ako unataka umsikilize nani katika huu ulimwengu.
      Nishakuambia mara kadhaa na hii leo nakuambia tena sitaki kuona mahusiano yako na hawa.
          Lakina mama .! Akuna cha lakini Hancy mimi ndo nishasema hivyo . alafu Hancy laiti kama baba ako angekuwa hai na anakuzuia kuwa na hawa usingelimsikiliza kweri. *?*
         Mama ujui tu kiasi gani nnavyo mpenda hawa. Hata kama baba angenikatalia mimi kuwa na hawa nisingekuwa tayali.  
     Yaani mama inyeshe mvua au liwake juwa siwez mimi kumuacha hawa nampenda sana.
      Mama alinyanyua mkono wake nakumzaba kibao mwanae cha shavuni. Kisha kuingia ndani huku akiwa analia.
     *utata wa Hancy na mama ake upo kila siku . mama hataki kabisa mwanae kuwa na mahusiano na hawa. Lakini ukweri usiofichika ni kwamba Hancy na hawa ni watu wanao pendana sana.*

      Akiwa anamawazo Hancy simu yake ilikuwa inaita. Na baaada ya kuangalia anae piga simu ni nani aligundua ni mpenzi wake hawa. Alipokea simu.

  *Hancy*. .. Hallow mpendwa wangu naona umemkumbuka mumeo. Mda huu na uwezi amini nilikua nna shauku sana ya kusikia sauti yako.
     *hawa*... Waooh nashukulu kusikia hivyo wangu ila kuna jambo zuri sana nataka nikueleze na nna uakika utafurahia sana mme wangu.
      *hancy*. . nambie halaka mpenzi wangu nna shauku sana kusikia hiko kitu kitakacho nifurahisha mimi.
     *hawa.* usiwe na pupa Hancy wangu . mzee madega leo kapata safari ya ghafla ivyo anaenda kijiji cha pili hivyo usikuu huu kwa kuwa baba anatoka mimi naja kwako mpenzi wangu sawa.

     *alifurahika sana Hancy kwa taalifa aliyo pewa na mpenzi wake hawa . na kidogo mawazo yake ya kugombana na mama ake yalipungua.*  
        
       *usiku uliingia na baaada ya kuingia hawa kama alivyo muaidi mpenzi wake hancy . kwamba atakuwa na yeye usiku huo. Alifanya kweli na walikuwa pamoja.*

     Yaaani hawa nashukuru sana kwa ujio wako usikuu huu . ingawa maswali mengi sana najiuliza kichwani mwangu .
        Ushaanza hancy na hilo swali lako nimeshalijuwa ila usiwe na haraka mpenzi wangu. Mimi ni msichana ambae mpaka sasa nna usichana wangu na nnakuaidi hii itakuwa ni zawadi yangu kwako siku yetu ya kwanza ya ndoa.
     Hancy alilidhia kusikia hivyo ingawa alikua akijikaza tu kisabuni sio kama hataki kufanya anacho kiwaza.
     Lakini kwa heshima ya upendo wake juu ya hawa alikua akimsikiliza sana .

     *wapenzi hao baaada ya maongezi kupita walilala. Huku wakiwa wameaidia mambo mengi sana.*  

       *upande wa pili.*

   Mzee madega aliludi nyumbani kwake . baada ya kutowai alipotarajia kuenda. Alianza kugonga dirisha la mwanae ili amfungulie mlango. 
    *we hawaa. Hawaa wee.* *we mtoto kulalaje huko amka unifungulie*.
    Cha ajabu mzee madega alishangaa kumuona jirani yake anakuja na ufunguo wake. Nakumueleza.
     Jirani mama hawa amepigiwa simu kwamba baba ake mzazi ni mgonjwa hivyo kaenda huko na aliniaga kwamba atoludi.
  
     Aliuliza mzee madega . *na hawa nae vipi yuko wapi.?.* jirani alimjibu mzee madega kwamba toka atoke mama ake hapa ata yeye ajaludi.
       Mzee madega alisema huyu mtoto kila nikimkataza ujinga wake na hancy asikii . usiku huu lazima atakuwa kule kule kwa mshenzi mwenzie sasa wacha niende leo ndo leo.

    *ITAENDEREA......... . ..*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.