Notification texts go here Contact Us Buy Now!

LOVE DESTINATION...FUNGUO SAHIHI KWA KUFULI SAHIHI

LOVE DESTINATION...FUNGUO SAHIHI KWA KUFULI SAHIHI

Hivi umewahi kujiuliza kwanini kituo huwekwa mwishoni mwa neno na si alama ya Koma?? Au umewahi kujiuliza kwanini Mabasi hufikia kituo cha mabasi na si nyumbani kwa Dereva?? Au umewahi kujiuliza kwanini makufuli hufunguliwa kwa funguo zake sahihi na si zingine?? Hizo ni terminologies ambazo wengi huwa hawajui maana zake.

Ni vyema mwanamke au mwanaume kuweka kituo kikuu kwenye uchaguzi wake wa mahusiano na si vinginevyo yamkini umekutana na funguo nyingi zisizoweza fungua kufuli lako na kila ulipojaribisha ziligoma lakini leo umebahatika kupata funguo sahihi basi nakusihi leo tunza funguo wako wala usiruhusu kujaribisha kufungua kufuli lingine lisilofaa.

Jaribu kushuka kwenye kituo uendacho na si kujaribu kishuka kwenye kituo ambacho si chako unaweza kupotea kabisaa, tena usijaribu kuweka koma mwishoni mwa Neno maana itakufanya kuendelea kuandika maneno mengine yasiyofaa kwako weka kituo ili uwe na mwisho mzuri wa Neno lako. 
Always tabasamu kwa kumpata uliyemtafuta miaka mingi na leo umempata unaweza kuwa umekutana na mamia ya watu lakini leo umefunga break kwa mtu mmoja tuu kama maandiko yasemavyo basi jaribu kuimarisha break zako zisiachie tena mpende na umfanye awe wako, usijaribu kumfananisha na mamia yaliyopita maana yeye ni mwanzo mpya na mwisho mzuri kwako. 

Swali kwako JE USHAPATA FUNGUO SAHIHI ZA KUFULI LAKO??

*_J4reak naendelea kusubiria majibu yako hapa_*

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.