Utadumu na mpenz wako zaid ya miaka 2 ukiamin yeye ndo wa ndoa ila baadae ana kuacha kwa tamaa zake za mwili na pesa.
kesho utapata mwingine anaweza asiwe
mzuri kama yeye
Asiwe na. pesa kama yeye
lakin akawa na malengo kuliko yeye.hivyo ukajikuta ndan ya mwaka au miez ukaitwa MKE AU MUME
tusikate tamaa baada ya mahusiano yetu ya mda mrefu kuishia njiani..MUNGU ana jua fungu lako..uta OLEWA/OA tu mda ukifika..
Hata ambae ndoa yako ina yumba mshirikishecMUNGU..maana binadamu nae yake yana mshinda.
Mungu atakupa mlango wa kutokea siku moja
Hongera ambae ndoa yako ina furaha na Amani, usimcheke anae teseka na ndoa yake
Usiogope kuachana nae kisa mahusiano yenu yamedumu mda mrefu.. Mda mrefu hauna maana kama ulitawaliwa na mizengwe na uongo mwingi, afu muda mrefu haina maana kwamba alikua ana nia na wewe no, mmekaa muda mrefu kwa sababu wewe ndio ulikua mjinga wa kutoziona ishara na dalili zote kua anakudanganya tu ila ungekua mjuzi wa kusoma dalili nadhani mgeshaachana baada ya wiki mbili tu..
Ujinga ni kua na imani ya kubadilika kwa mtu wako eti atabadilika au anakuomba msamaha na kukuahidi atabadilika hapa duniani kwenye mapenzi anayeweza kubadilika ni aliyekuoa ndani tena naye awe amekuoa kwa kukuhitaji siyo yule wa kuishi naye badae mnakuja kukamilisha ndoa au wa kuoana baada ya kuona mambo yanataka kuharibika ila kama ni mpenzi tu hua hawabadiliki ila hua wana badilisha wapenzi yaani anakuacha wewe anatafuta mwingine huku wewe akibaki na ahadi zake zile zile ila utajua tu huyu siyo wangu kwa maana ahadi zote hazitakua zinakamika na matukio yatakua ya kutosha tu hayo hua ni ya makusudi ili ujiongeze kua hupendwi ila kwa kua kichwa chako kimejaa ma funza bado utakomaa kujidai huelewi😎🤔
Nikwambie, yeye hata hakuoni wa maana bali anakuona zezeta tu lisilo Jitamba my dia, anakupenda hata ukisema leo no sex mpaka ndoa, atafanya juu chini mpaka akuoe hata kama humpi sex ndio kwanza ataona kama unataka kuchukuliwa na mwingine.