Notification texts go here Contact Us Buy Now!

EWE MWANAUME MUOGOPE MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI

“EWE MWANAUME MWENZANGU MUOGOPE MWANAMKE MWENYE TABIA HIZI👇👇👇"

🥝OGOPA MWANAMKE muongeaji sana, ukiongea neno moja yeye hujibu maneno kumi na kuendelea, Huyu hata akikosea jambo ukimuelewesha hatoelewa na ni mwepesi kubishana na wewe hata kama utakuwa unamelekeza katika haq.

🥝OGOPA MWANAMKE anayependa kujisifu sana juu ya uzuri wake, huyu pia mara nyingi si msikivu ndani ya ndoa yake, na ni rahisi kuomba talaka bila ya sababu akiamini yeye ni mzuri na anapendwa na wanaume wengi hivyo huwezi kumbabaisha.

🥝OGOPA MWANAMKE mwenye kujifanya mjuaji sana. Ukimuelekeza jambo la ukweli hulitafutia sababu ya kukufanya uonekane kuwa unalomuelekeza si la muhimu kwake na hujiona kuwa yeye anajua zaidi kuliko wewe..

🥝OGOPA MWANAMKE ambaye ana fikra potofu za haki sawa kwa wote (Yaani fifty fifty) kwamba yaani anaamini kuwa naye ana haki ya kufanya lolote kama wewe mume na haijalishi kuwa umeridhia au laa. Huyu hatokupa nafasi kama mume na hutaka kuyafanya maamuzi yake ndo yawe ya mwisho katika majambo.

🥝OGOPA MWANAMKE asiye na Hofu na Mungu. Huyu huwa ni mbaya zaidi ya Corona na si mlezi mzuri wa watoto katika kuwaelekeza katika maadili mema. Huweza kufanya lolote bila kujali ni lenye kumpatia madhambi au laa.

🥝OGOPA MWANAMKE yule mwenye kupenda kujipamba kwa ajili ya wanaume wengine, anayependa kuuonesha uzuri wake kwa wanaume na mwenye kujiona.

SIFA ZA MWANAMKE AMBAYE ANANAFASI KUBWA KWENYE MOYO WANGU👇💪

1.Ambae ananisikiliza nikiongea ndio nae aongee nimsikilize.

2.Ambae nikisema kitu kipo hivi anaelewa na mi namuelewa.

3.Ambae anasikiliza na kufanya tasmini kabla ya kuhukumu.

4.Ambae anaweza kuahirisha vitu vyake kwa ajili ya kitu cha msingi baina yetu.

5.Ambae simu yake na yangu ni za wote.

6.Mwenye hofu ya Mungu

7.Mpambanaji sio wakukaa na kuwa goalkeeper tu

8.Awe mwenye kunivutia katika uumbikaji wake✍️

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.