MAHITAJI YA SMOOTHIE YA STRAWBERRY NA NDIZI
- Vikombe 2 strawberries
- Ndizi 1
- Vikombe 1½ maziwa
- Kikombe 1 mtindi mzito,
MATAYARISHO
YA SMOOTHIE YA STRAWBERRY NA NDIZI
- Osha matunda
- Katakata matunda
- Weka matunda kwenye mfuko wa kuwekea chakula kwenye jokofu. Funga, hifadhi matunda kwenye
- freezer.
- Ukiwa tayari kutumia, weka maziwa, mtindi na matunda yaliyoganda kwenye blender au mashine ya
- kusagia chakula
- Saga hadi yalainike vizuri```
