MAHITAJI YA SMOOTHIE YA PAPAI NA NDIZI
- Kikombe 1 cha chai maziwa fresh
- ¼ kikombe cha chai mtindi mzito.
- Kijiko 1 cha chai vanilla extract
- Ndizi 1 mbivu
- ½ papai kubwa lililoiva
- Kikombe 1 barafu
MAELEKEZO SMOOTHIE YA PAPAI NA NDIZI MBIVU
- Menya na kukatakata matunda
- Weka viungo vyote kwenye blender au mashine ya kusagia chakula. Saga mpaka ilainike
- Tenga kama utakavyopenda```
