Notification texts go here Contact Us Buy Now!

Njia Tuitumiayo Kuweka Malengo Imekuwa Ikitupoteza

 Njia ambayo wengi tumejifunza kuweka malengo imekuwa inatupoteza na 

ndiyo maana wengi wamekuwa wanaweka malengo lakini hawayafikii.

Njia Tuitumiayo Kuweka Malengo Imekuwa Ikitupoteza

Njia tuliyozoea kuweka malengo ni kuanza na lengo tunalotaka kufikia, 

kuchukua hatua za kulifikia, kupata matokeo na kisha kupata hisia baada ya kuwa na matokeo ya lengo hilo. 


Njia hii imekuwa siyo sahihi kwa sababu sisi binadamu ni viumbe wa kihisia, tunasukumwa zaidi na hisia kuliko kitu kingine.


Na njia hiyo tunayotumia   inaweka hisia mwisho, baada ya kupata

matokeo, kitu ambacho ni kigumu.


Njia sahihi ya kuweka malengo ambayo utayafikia ni kuanza na hisia kwanza, zile hisia ambazo unataka kuwa nazo baada ya kufikia lengo, ndiyo unaanza nazo kabla hata hujafikia lengo. 


Ukishakuwa na hisia hizo, unaangalia ni 

matokeo gani unayotaka kuzalisha, na hatua zipi unazopaswa kuchukua ili kuzalisha matokeo hayo. 


Kwa kuanza na hisia, matokeo na kisha kuchukua hatua, moja kwa moja unafikia lengo lako.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.