Chocolate coverd cakes
Mahitaji ya kupika chocolate covered cakes
Melted Choclate
Rangi
Keki yoyote
Jinsi ya kuandaa chocolate covered cakes
Zivuruge kike zako ziwe kama bread crumbs kisha changanya na chocolate kijiko kimoja baada ya kimoja paka uone imeanza kushikana. Chukua choclate nyeupe ueke sehemu tofauti utie rangii unazopenda halafu tia chocolate ya rangi kwenye molds upambe unavyopenda halafu utiie chocolate nyeupe kisha weka kwenye freezer ikiganda toa weka keki kisha weka kwenye freezer ukitoa weka choclate juu weka kwenye freezer halafu toa na ziko taari
