NITAOLEWA LINI?
MTUNZI: McLAURIAN
WASAP: 0768276551
NITAOLEWA LINI? PART: 02.
Tulianza kupiga stori taaratibu ndipo alipoanza kunishikashika kwenye maziwa yangu na mapaja yangu jambo ambalo sikulipenda kabisa kwani mpango wangu ni mpaka niolewe ndo niguswe.
"Usinishike tafadhari..nakuheshimu sana na utanishika sana mpaka utanichoka utakaponioa" Nilimwambia huku nikiwa namshika mikono yake.
"Hee! sasa kama ni hivo umekuja nyumbani kwangu kufanta nini?" Aliongea kisha akaenda kufunga mlango.
SONGA NAYO.
Baada ya kufunga mlango alirejea tena kitandani hapo kisha akaanza kunishika kila sehemu ya mwili wangu kwa nguvu.
Wakati ananishika nilitamani kupiga kelele lakini niliogopa kweli ndipo nilipoamua kuwa mpole kisha nikamwambia,
"Unataka kunifanya nini?"
"Kwani hujii!"
"Sijui nini sasa!.." nilimwambia kwa mshangao
"Nimekupenda sana na kama ulivyosema unanipenda pia basi naomba unionjeshe hata kidogo"
"Mhh..siwezi kabisa nimejitunza mda wote huo mpaka sasa hivi sijawaji kuonjwa wala kuguswa na mwanaume yeyote. Please kama wanipenda basi nivumilie mpaka hapo tutakapogunga ndoa" Nilimwambia huku akiendelea kunishikashika.
"Kwani wewe bado b...**kra?..aliniuliza.
"Ndio kwani huamini?"
"Sidhani kabisa mpaka nione ndo niamini maana katika ulimwengu wa sasa sijui kama binti mwenye umri kama wako ambaye hajaguswa"
"Mhhh..suwezi kukuonesha ...wangu maana ni mme tu anayetakiwa kuona tu"
"Sasa uliona wapi mtu kuuziwa mbuzi kwenye gunia?"
"Ndo hivo naomba unielewe"
Majibizano yaliendelea mpaka nikajikuta ninaanza kulegea kabisa hasa aliponishika kwenye ziwa langu la kushoto ambalo lilikuwa limesimama kama ngumi ya mtoto mdogo.
Nikiwa nimelegea kwa mbali nilitamani kumuonesha ....lakini niliogopa sana na kuona aibu kwani nilikuwa nina mda wa wiki 2 sijanyoa kabisa huku nguo yangu ya ndani ikiwa na katobo kidogo sehemu ya mbele jambo ambalo lilinifanya nikata katakata ili kuondoa aibu.
Ama kweli nilijihisi vibaya mno yaani msisimko mkali niliokuwa nao siwezi kuuelezea hasa aliponishika tena sehemu ya shingo langu ambalo lilikuwa refu kama twiga.
Licha ya msisimko huo, nilikumbuka rafiki yangu ambaye alilala na mpenzi wake kisha akamtoa..b*** ra na badae alimuacha. Jambo hilo liliniongezea nguvu kabisa ndipo nilipofanya maamuzi magumu kwa kukataa katakata.
Nilibeba mkoba wangu mdogo kisha nikanyanyuka lakini Sebo tayari alikuwa ameshafunga mlango huku akiwa ameshikilia funguo.
Nilipata wakati mgumu sana mpaka nikajikuta ninajuta kwanini nimekuja kwa kijana huyo ambaye alikuwa amenikamia kwelikweli.
Nikiwa nimesimama mlangoni, alikuja kwa mara nyingine ndipo nilipogundua njia rahisi ya kuondoka kwake kwa kujifanya nampenda sana.
"Baby nakupenda sana ila tutumie kinga maana nataka tupime kabla ya kuoana. Kingine naomba usitumie nguvu nyingi maana naogopa kuumizwa kwanj ni mara yangu ya kwanza." Nilimwambia Sebo huku nikiwa nimemkumbatia kama nyani na mtoto wake.
"Usijali baby wala hutoumia ni taratibu tu na utafurahia sana wala usijali" alinijubu huku akitaka kuingiza mkono wake kwenye sketi yangu lakini nilibana mapaja yangu kwa nguvu.
"Mhh..ayaaa..naomba nifungulie niende haja ndogo maana najihisi kukojoa..." Nilimwambia.
"Sawa ...ukifika pembeni mwa nyumba hii utaona milango miwili mmoja ni bafu na mwingine ni choo. " Alinelekeza.
"Sawa asante".
Baada ya kufungua, nilitoka ndani kwa haraka na mkoba wangu ndipo nilipotimua mbio kwa hatua chache kisha nikapanda bajaju mpaka stendi ya mawasiliano kwa ajili ya kuelekea nyumbani.
Ama kweli sikutegemea kama kijana huyo ambaye aliletwa na upepo wa kusulisull kama angenifanyia mambo hayo.
Baada ya kuwa nimeokoka na dhahama hiyo, nilimblock kabisa kisha nikafuta namba yake maana alionekana ana nia mbaya ya kunitumia tu na wala sio kunioa.
Hali ya huzuni iliendelea kunisonga hasa baada ya kuona mda unasonga huku rafiki zangu wakizidi kuolewa kila kukicha mpaka nikawa naona wivu kwelikweli.
Hali hiyo ilonifanya nikae ndani kwani baada ya kuomba kwa mda mrefu nikawa naona sijibiwi ombi langu huku wale ambao hawaombi wala kusali ndio wanailewa.
Ama kweli nilipenda sana kuolewa tena sana hasa kupata mtoto wa kiume na mimi niitwa mama fulani lakini sharti langu bado lilikuwa lilelile kwa kutoweza kulala na mme yeyote mpaka niolewe..
Hali hiyo ya upweke ilimfany mama mpaka akawa ananiambia niwe natokatoka na kushiriki kwenye mambo mbalimbali ikiwemo kwenda sokoni kuhemea.
Siku moja nikiwa natokea sokoni, alitokea kijana mmoja ambaye alijitambulisha kwa jina la Edo kisha akaniambia,
"Samahani dada kwa usumbufu..."
"Bila samahani niambie.."
"Dada mimi naitwa Edo kwa kweli nimekupenda sana"
"Mhhh..umenilenda kivipi.."
"Asee natamani uwe mke wangu kabisa tena wa kufunga ndoa"
"Unaongea kwa kumaanisha au ...maana mimi ni mtu mzima na sipendi tena kupotezewa mda" Nilimwambia huku nikikumbuka yale yaliyonikuta kwa Sebo.
"Dada nipo namaanisha kwelikweli.."
"Sawa kama unanipenda njoo nyumbani ujitambulishe kwa wazazi"
"Sawa hiyo haina shida ila ni vizuri tujuane vizuri kwanza kabla ya kuja nyumbani kwenu"
"Aya kama umeshindwa basi mi msimamo wangu ni huo.."
"Sawa naomba tubadilishane namba halafu nitakujulisha siku ya kuja nyumbani kwenu"
Baada ya kauli hiyo, tulibadilishana namba kisha nikarejea nyumbani huku nikiwa na furaha kwelikweli mpaka mama akawa ananishangaa kwanini nimekuwa hivo siku hiyo.
Siku hiyo niliingia jikoni kisha nikapika chakula kitamu kwelikweli na badae nikaenda kitandani kujilaza ndipo nilipoanza kuchati na Edo kwa njia ya wasap kwa takribani masaa 3 yaani kuanzia saa 4 mpaka saa 7 usiku.
Asee ni mengi tulichati mpaka nikajikuta nimelowana nguo zangu za ndani mara baada ya kunogewa na (chatingi) hizo.
Baada ya kutumiana meseji zakutosha, aliniambia wekendi tukutane nyumbani kwake maeneo na Sinza nami kwakuwa nilikuwa nimeshanogewa nikajikuta ninakubaliana naye huku nikiwa na hamu ya kujua hali yake ya kiuchumi ikoje.
Tuliendelea kuwasiliana kwa takribani wiki nzima mpaka siku ya jumamosi ambayo nilijiandaa kabisa kwa kujipakaa lipstick na urembo wa kila aina. Ama kweli nilipendeza sana kisha nikamuaga mama kuwa naenda kwa rafiki yangu . Mama wala hakunikatalia ndipo nilipofurahi kwelikweli kisha safari ya kuelekea Sinza ikaaanza.
Ndani ya dakika 18 nilikuwa maeneo ya Sinza ndipo nilipompigia simu Edo ambaye alikuja haraka kisha tukaanza kuelekea nyumbani kwake.
Baada ya kufika kwenye geto lake, nilifurajishwa na mazingira mazuri hasa TV kubwa kama nchi 60 ambayo ilikuwa imetundikwa ukutani. Kwa pembeni kulikuwa na sofa la watu 2 ndipo nilipoketi kisha naye akata kukaa pembeni mwangu jambo ambalo lilianza kunipa wakati mgumu.
Tulianza kupata vinywaji baridi kwa mbali huku tukiwa tunapiga stori kwa mbali. Kadri mmda ulivyozidi kwenda, Edo alizidi kunisogelea kabisa ndipo alipokosa uvumilivu nakunishika mgongoni huku suruali yake kwa mbele ikiwa inaonekana kutuna kwelikweli jambo ambalo lilinipa hofu na mshangao.
JE ILIKUWAJE?......
